Nitumie vipi Carotone nipate matokeo mazuri?

Nitumie vipi Carotone nipate matokeo mazuri?

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Alisikika ray kigosi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hujapata matokeo mazuri yapi, ulitaka ikufanyaje hujaweka wazi hapo.... ila kama ni weupe basi nenda duka hilo hilo waambie wakupe maji ya kuchanganyia kwenye lotion yako.... wanazo watakupa.
 
"PrincessAnne, post: 24872944, member: 446738"]Achana na vicream uchwara hiyo carotone itakuunguza uso na kukuachia sugu tu[/QUOTE]
Ipi bora mkuu
 
carotone ni cream ambayo huwa inachubua..,achana nayo, kwanza ni illegal kuuzwa madukani sema wauzaji wanuza kwa sirisiri tu.... ridhika na jinsi Mungu alivyokuumba
 
Back
Top Bottom