Nitumie vipi Carotone nipate matokeo mazuri?

Nitumie vipi Carotone nipate matokeo mazuri?

carotone ni cream ambayo huwa inachubua..,achana nayo, kwanza ni illegal kuuzwa madukani sema wauzaji wanuza kwa sirisiri tu.... ridhika na jinsi Mungu alivyokuumba
Achanganye na JIK ili kupata matokeo mazuri kwa kasi zaidi.
 
carotone ni kiboko tatzo kile kichupa ni kidogo mno watengeneze kubwa mnoo
 
Nisianze kwa kukuhukumu labda uelewa juu ya hayo mafuta yako hauna...ila kama uko kwenye baridi nunua vaseline yale mazito ili baridi isipenyeze kwenye ngozi ila kama uko kwenye jua kali basi nunua sunscreen lotion ili miale ya jua isiharibu ngozi....
 
Hahaha wanaume wanaangamia taratibu
 
Wazee wa kujipodowaaaa msaidieni mwenzenu huyo
 
Nisianze kwa kukuhukumu labda uelewa juu ya hayo mafuta yako hauna...ila kama uko kwenye baridi nunua vaseline yale mazito ili baridi isipenyeze kwenye ngozi ila kama uko kwenye jua kali basi nunua sunscreen lotion ili miale ya jua isiharibu ngozi....
Anunue vaseline tu itamfaa zaidi hata kwa matumizi mengine kutokana na huko anakoelekea.
 
Back
Top Bottom