Nitumie vipi Carotone nipate matokeo mazuri?

Hey guys
Haya mafuta ya carotone yamekua maarufu sana hapa bongo kweli kweli
Kuna kuchupa kidogo kikubwa na kikubwa zaidi
Nimesikia kati ya hizo chupa ndogo kabisa ndo inaleta feedback ya haraka kwenye ngozi
Hebu tujuzane kwa waliopata matokeo mazuri unachanganya na nini???
Nasema hivi kwasabab mwanzo nilitumia kile kichupa kidogo kuliko vyote nikapata matokeo mazuri mng'ao na machunusi yakaisha
sasa nikaja kuacha baadae nikaanza kutumia tena ila ninatumia chupa kubwa kwa sasa kiukweli nimetumia long tyme no feedback naona nipo vile vile ushauri nichanganye na nini???
 
Carotone ina chemicals ambazo sio nzuri kwa afya ya ngozi yako. Unaweza kufurahia kutumia sahivi lakini miaka ya baadae ukija kuanza kuhangaika na athari zake utajuta mkuu. Tafuta lotion/mafuta yaliyoruhusiwa kutumika na TFDA.
 
Ila we jamaa huwa unafurahisha 😀😀😀
Afu unajiamini mwenyewe, we ni mcongo????
Huwa unanichekesha natamani nione ulivochubua sura afu mikono kama umevaa gloves, ka vipi paka chokaa
 
Carotone sio nzuri..kama unatumia achana nayo na kama unataka kuianza sikushauri
 
Hey guys
Haya mafuta ya carotone yamekua maarufu sana hapa bongo kweli kweli
Kuna kuchupa kidogo kikubwa na kikubwa zaidi
Nimesikia kati ya hizo chupa ndogo kabisa ndo inaleta feedback ya haraka kwenye ngozi
Hebu tujuzane kwa waliopata matokeo mazuri unachanganya na nini???
Nasema hivi kwasabab mwanzo nilitumia kile kichupa kidogo kuliko vyote nikapata matokeo mazuri mng'ao na machunusi yakaisha
sasa nikaja kuacha baadae nikaanza kutumia tena ila ninatumia chupa kubwa kwa sasa kiukweli nimetumia long tyme no feedback naona nipo vile vile ushauri nichanganye na nini???
Hii post imefanya moyo wangu usisimke sana kwa kuona mtu anavyokuja kupata madhara na asijue yametokana na nini. Carotone??? WEKA MBALI NA NGOZI YAKO!!!
Carotone (pamoja na michanganyiko yake) sio kipodozi salama na huweza kusababisha madhara yafuatayo:
Madhara hayo ni pamoja na:
  1. Ugonjwa wa saratani (kansa) ya ngozi, maini, ubongo, mapafu, mfumo wa damu, utumbo mpana na kibofu cha mkojo
  2. Uharibifu wa ngozi, macho, ini, mapafu na figo
  3. Magonjwa ya moyo na kutopumua vizuri
  4. Kutokwa na chunusi kubwa kubwa
  5. Ngozi kuungua, maumivu makali, ngozi kuwa nyekundu na kutokwa na vipele
  6. Ngozi kuwa nyembamba sana na laini hivyo kupata michubuko na majeraha kwa urahisi
  7. Mzio (Allergy) na muwasho wa ngozi
  8. Kichefuchefu, kutapika, kusikia usingizi na kizunguzungu
  9. Magonjwa ya akili, mishipa ya fahamu (hasa kichwani)
  10. Uharibifu wa ubongo na mtindio wa ubongo kwa watoto wachanga na waliopo tumboni
  11. Ngozi kuwa laini na kusababisha kupata magonjwa kama fangasi kwenye ngozi au maambukizi ya vimelea vya maradhi
  12. Kuchubuka kwa ngozi
  13. Ngozi kuwa na mabaka meusi na meupe au rangi mbalimbali
  14. Upofu, uziwi na upotevu wa fahamu wa mara kwa mara
  15. Kuumwa kichwa, kusikia kizunguzungu na kupoteza fahamu
Matokeo mabaya hayaji haraka haraka, ila wakati unakuja kuyaona unakuwa tayari umeshachelewa. Acha kabisa Carotone na vipodozi vyote visivyo salama (Ukipenda orodha kamili ya vipodozi visivyo salama, madhara yake na ushauri zaidi omba na utatumiwa bure kabisa kwa email. Tuma meseji kwenda namba 0719326693 kuomba).

Carotone, Caro light, Maxi tone, Extra Clair, Perfect White, Express White, Rico, Jaribu nk vyote ni vibaya na ni miongoni mwa zaidi ya vipodozi 200 ambavyo utavikuta kwenye hiyo email

- AFYA ZAIDI CONSULTANTS
 
kwahiyo kila whitening cream ina madhara??
 
Sijasema hivyo. La hasha. Toa neno "kila". Angalia imetengenezwa na nini na inafanyaje kazi. Ila hizi nyingi za bongo zina madhara kutokana na kemikali na teknolojia za bei nafuu wanazotumia. Tsh 2,500/= unabadili rangi??? SMH
 
Back
Top Bottom