Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina haya juu ya maswali yako;Ni waya gani sahihi wa kuunganisha mota kutoka kwenye mcb pia nataka kujua huu waya kwenye picha hapa chini ni milimita ngapi
View attachment 2970911
Hivi milimita zinapimwa kwenye cover la nje au hizo mojamojaUnaweza tumia 4mm²
na kwenye Picha navyo uona huo n 6mm
Naona nyotanyota au nikileta specification kwa kusoma kwenye kiplate cha mota unaweza nisaidia calculationNina haya juu ya maswali yako;
1. Kujua utumie waya wa size gani kuunga motor ya 22kW, fanya hivi;
Kwanza I hope motor hiyo ni ya three phase
Tafuta current P = Sqr root 3 x V x I x PF,
P= 22,000W
V = 4150V (line to line)
Power Factor (PF) = 0.8
If you make current to be the subject and plugging in the other values, utapata 38.26 amperes.
Sasa kutoka kwenye table ya cable current carrying capacity.
2. Cable current carying capacity table
View attachment 2971149
From the table, choose the exactly calculated (38.26A) OR next size bigger current value (41A), and then choose the corresponding cable size (10 square mmm).
3. Cable uliyoiweka, kwa picha si rahisi sana kukuambia ni ya size gani. Maana picha haitoi muonekano halisi utakaoweza kukupa size halisi yacable. Kama kuna maandishi kwenye cable hiyo, tuwekee tukusomee
Piga picha nameplate ya motorNaona nyotanyota au nikileta specification kwa kusoma kwenye kiplate cha mota unaweza nisaidia calculation
MeaningHapa ndio tutawakubali wamarekani na ule mchezo wao wa a banana for scale 😆😆