Nina haya juu ya maswali yako;
1. Kujua utumie waya wa size gani kuunga motor ya 22kW, fanya hivi;
Kwanza I hope motor hiyo ni ya three phase
Tafuta current P = Sqr root 3 x V x I x PF,
P= 22,000W
V = 4150V (line to line)
Power Factor (PF) = 0.8
If you make current to be the subject and plugging in the other values, utapata 38.26 amperes.
Sasa kutoka kwenye table ya cable current carrying capacity.
2. Cable current carying capacity table
View attachment 2971149
From the table, choose the exactly calculated (38.26A) OR next size bigger current value (41A), and then choose the corresponding cable size (10 square mmm).
3. Cable uliyoiweka, kwa picha si rahisi sana kukuambia ni ya size gani. Maana picha haitoi muonekano halisi utakaoweza kukupa size halisi yacable. Kama kuna maandishi kwenye cable hiyo, tuwekee tukusomee