Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

Procedures na document zinazotumika kwenye exports
Procedures
1. Mtafute clearing agent aliesajiliwa
2. Kisha mkabidhi documents zote pia hakikisha unabaki na copies zake
3. Agent ataziupload documents zote TANCIS
4. Pia agent atasubmits shipping order kwa TPA zikiwa na TRA approved loading list
5. TPA itatoa invoice kwa ajili ya malipo
6. Baada ya malipo TPA itatoa risiti ya malipo
7. Pia agent ataupload truck announcement document kwenye cargo system
8. Kisha dereva atapata gate-in ticket kutoka kwenye system itakayomuwezesha kuruhusiwa kuingia bandarini
9. Kisha baada ya mzigo kuingia bandarini, TPA itapokea mzigo wako kwa ajili ya kusafirisha

Documents
1. Invoice
2. Packing list
3. Authorization letter
4. Export certificate kutoka kwenye mamlaka husika kulingana na aina ya mzigo unaotaka kusafirisha mfano wizara ya kilimo, maliasili, madini n.k
 
Nawezaje kujua gharama ya kutoa mizigo (kontena 20 feet) bandarini kabla ya mzigo haujafika ili kujiandaa kifedha?
Gharama za utoaji wa kontena inapatikana kutokana na CBM za kontena na uzito wake hivo ni muhimu kujua limebeba nini au raw material gani ila ukiachana na ushuru basi max inaweza kucost 2M
 
Je una gari au mzigo wowote umeagiza na unatafuta wakala wa forodha kwa ajili ya kukutolea?

Tuwasiliane tuweze kushirikiana kufanikisha kutoa na kuupata mzigo wako kwa gharama nafuu Sana

Mawasiliano
WhatsApp & Call 0652802379
 
Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini.

Mawasiliano:
WhatsApp & Call 0652802379
Clearing Agent au wakala wa forodha huyu ni mtu wa katikati kati ya mteja na bandari anaefanikisha clearance procedures kwa niaba ya mteja kwa ajili ya kutoa mzigo bandarini au viwanja vya ndege au border
 
Procedures
1. Mtafute clearing agent aliesajiliwa
2. Kisha mkabidhi documents zote pia hakikisha unabaki na copies zake
3. Agent ataziupload documents zote TANCIS
4. Pia agent atasubmits shipping order kwa TPA zikiwa na TRA approved loading list
5. TPA itatoa invoice kwa ajili ya malipo
6. Baada ya malipo TPA itatoa risiti ya malipo
7. Pia agent ataupload truck announcement document kwenye cargo system
8. Kisha dereva atapata gate-in ticket kutoka kwenye system itakayomuwezesha kuruhusiwa kuingia bandarini
9. Kisha baada ya mzigo kuingia bandarini, TPA itapokea mzigo wako kwa ajili ya kusafirisha

Documents
1. Invoice
2. Packing list
3. Authorization letter
4. Export certificate kutoka kwenye mamlaka husika kulingana na aina ya mzigo unaotaka kusafirisha mfano wizara ya kilimo, maliasili, madini n.k
Booking,release order na shipping order ni nini? Na nani anahusika kuandaa na gharama zake zipoje?
 
Booking,release order na shipping order ni nini? Na nani anahusika kuandaa na gharama zake zipoje?
Booking order hii ni document ambayo shipping line anaitoa kwa shipper(exporter) ku confirm booking request yaani ni Kama unabook nafasi katika meli pamoja na kontena

Shipping order hii ndo document utapewa baada ya kufanya booking order ambayo itakuwa na booking details kama vessel number na sailing time

Released order hii n document unayopewa na shipping line kama kibali cha kuchukua kontena lako au mzigo wako

Wahusika wa kuziandaa ni shipping line

Kuhusu gharama inategemea na shopping line utakaoenda kuwaaproach
 
Maana yeye ndo aliesajiliwa na kutambulika na bandari kwa ajili ya kazi hiyo na in any issue wanajua jinsi ya kumpata ingekuwa Kila raia na mzigo wake ingekuwa hapashikiki kulee😅
Swali: hiyo clearence haiwezi kufanywana mteja? Kwa lugha nyepesi kwa nn nitumie clearing agent
 
Calculation inategemea na invoice ya hivo vifaa na mashine ili kupata kodi ya serikali baada ya hapo pia utatakiwa kulipa other port charges fee kwa ajili ya kutoa mzigo wako
Kuhusu tractor kuna tetesi ushuru na kodi zinerudishwa kinyemela kuna ukweli?
 
Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini.

Mawasiliano:
WhatsApp & Call 0652802379
USHAURI
Kabla ya kuagiza bidhaa yoyote ile ni vyema kufahamu gharama halisi zitakazotozwa pindi mzigo utakapowasili nchini. Hii itasaidia kujua kama bajeti inaruhusu kuagiza mzigo husika kwa wakati huo au la. Ni busara kutumia ushauri au maelekezo kutoka kwa wakala wa forodha na wazoefu wa masuala haya kwa msaada.
 
Habarini wana JF kijana wenu nafanya clearing za mizigo bandarini kwa yeyote yule anaetaka kuagiza na kuingiza bidhaa nje ya nchi(importing) au kutoa bidhaa nje ya nchi(exporting) hata kwa ushauri namkaribisha tufanye kazi.
Pia hata kama mtu ana swali lolote namkaribisha pia.

Mawasiliano
WhatsApp &Call
0652802379
 
Back
Top Bottom