Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Documents za muhimu kukupatia niTukipatana na supplier kuleta mzigo kwa terms za CIF natakiwa nimdai document gani ili mzigo usafirishwe na niupokee bila tatizo?
Kama ni used ila umevifanyia malipo ya kuvinunua bado utahitaji hizo documentsMkuu kama vitu ni used machine spare part navyo vinahitaji documents gani muhimu
Ndio ni ile document ya malipo kwa ajili ya manunuziInvoice ina maana orodha ya bei ya kununulia au?
Asante kwa kuwasiliana nami.mkuu nichekie hii ,naomba kama unaweza , kunikadiria gharama kwa invoice hii nimeiattach
TRA anaweza akalipia ila malipo ya bandarini mpaka meli ifikeHivi mteja anaweza kulipia gharama za TRA na bandari wiki moja kabla meli haijafika (baada ya kupokea documents zake) au mpaka meli ifike na kushusha mizigo?