Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

How to brand wholesale shop


Simple

Hi ni demo to sio duka


Mteja akija dukani akiona fashion ya shellf zako jinsi unavyoweka anaelewa hili ni duka la jumla
 
Tanga huko bei lazima iwe tofauti na Dsm mkuu kwa Dsm faida yake ni ndogo sana kutokana na ushindani.
Naelewa biashara ya wholesale kwa Dsm Shop ziko nyingi lazima watu waxhindane kwenye punguzo la Bei ili wavutee wateja


Kwa Tanga nime- experience maduka machache then mahitaji makubwa ya watu katika bidhaa


Then wafanya-biashara wa Tanga Mitajii ndo tatizo kwaoo so ukifungua Shop, competitio usually
 
Kweli usemalo nshafika kwa awale aisee Bei wanazouza hazikidhi kununua bulk nakwenda uza jumla
 
Nimeupenda sana uzi huu naamini naweza pata majibu ya maswali yangu sababu mimi ni mfanyakazi sijawahi Fanya biashara yoyote ila kwa muda mrefu nimekuwa natamani niwe na mimi na duka

1.Nataka kujua makadilio ya kodi wanayoyafanya TRA kwa watu wenye mitaji kuanzia mil 7 mpaka 10

2.inawezekana biashara hii unaweza toa risiti kwa kila mteja anaenunua bidhaa

3.ikitokea mteja kaondoka bila kuchukua risiti na akakamatwa na TRA inakuaje
 
mtoa mada yuko sahihi sana hizi bei za hivi vitu zina fluctuate kulingana na wakati .bei sio constant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…