Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Ushawahi fanya hii biashara? Maana kama hujawahi kuifanya ni ngumu kunielewa
Biashara naifanya na Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4 Sasa tuanzie Engo ipi kuajidili hoja yako

Bidhaa unapata faida kutokana na sehemu unakonunua bidhaa ukinunua kiwandani faida tofauti na atakenunua kwa Agent.
 
biashara naifanya na Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4 Sasa tuanzie Engo ipi kuajidili hoja yako

Bidhaa unapata faida kutokana na sehemu unakonunua bidhaa ukinunua kiwandani faida tofauti na atakenunua kwa Agent.

biashara naifanya na Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 4 Sasa tuanzie Engo ipi kuajidili hoja yako

Bidhaa unapata faida kutokana na sehemu unakonunua bidhaa ukinunua kiwandani faida tofauti na atakenunua kwa Agent.
Kwahiyo ukinunua kiwandani ndio unapata faida ya elfu 4 kwa katoni moja ya Tomato?
 
Hizo siyo BigG bali ni gomba, uwezi kuwa na mrinda dukani alafu ukamwambia una fanta, BIG G ni brand name kama ilivo jojo, bazoka, batook nk
Nadhani ametumia jina lililozoeleka zaidi mitaani na wengine tumemuelewa kiliko angetaja jina lingine la hiyo bidhaa inavyofahamika jina lake asilimia nyingine tusingemuelewa na ndiyo maana hata wateja wengi wakienda dukani wanasema naomba Big G tano na anapewa hata kama ya brand name haikuandikwa kabisa Big G.
 
Mazoea hayafanyi jambo au kitu fulani kuwa halisi. Kama ilivyo kwa vituo vya mafuta kuitwa shell, ili hali ni jina kampuni kama ilivyo BP, Puma, oilcom, victoria nk
 
Wapendwa naomba kuuliza chimbo wanapouza maua aina mbalimbali kwa bei ya Jumla.
 
Kwa ambae ana uzoefu wa biashara ya vinywaji km soda,maji,pombe kali kwa jumla aje na uzi apa tupeane michongo!
 
Vifungashio aina zote,mifuko ya debe 2,3,5,7 na 10 kamba aina zote.
Nahitaji connection viwandani.
 


Mkuu, nina mfumo wa logistic supply chain yaan unaunganisha duka la retail, duka la jumla na dereva wa kufanya delivery. Nipe connection tufanye kazi pamoja
 
Kuna maajent pale k,koo ukienda utakuta maduka special kwaajili ya kuuza bidhaa za stationery wao wanachukua mzigo mkubwa moja kwa moja kutoka viwandani wengine Wana import kutoka nnje...
Daftari na bidhaa zote za stationary wino za printers, n.k muone huyu 0620147263
 
Mkuu unaweza angalau kutuorodhoshea mifano ya fast moving items hizo yaani ambazo piga ua zisikosekane dukani au store?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…