Niulize chochote kuhusiana na biashara ya duka la jumla

Uzi huu utatusaidia sana naomba tuingie kwenye uchambuzi wa bei mkuu pamoja na kuwa bei zinabadilika badilika, pia naomba wanaouza vocha za jumla huwa wanachukulia wapi na kwa bei gani na je makadirio mfano ya kuanza kuuza vocha za jumla na sigara ni sh ngapi .
 
Mkuu ungetoa na mifano hai ungetusaidia zaidi
 
Ukienda pale k,koo utaona maduka ya maa-jent wa madaftari
Wauzaji wa hivyo vifaa wanaofahamika kwa Kariakoo,
Ni kama akina Othman na Awale,
Bei wanazouzia wao hazikidhi kununua bulk ya kuja kuuza kwa jumla mkuu, nadhani wao sio agents.

Kama una Mawasiliano ya agents wa madaftari,
Tuwekee hapa Kama ulivyofanya kwa bidhaa zingine.
 
We pimbi nirudishe kwenye group la cohu.
 
Mkuu hilo swali la vocha mbona haujalijibu na pia naomba unipe muongozo wa biashara wa vitu vya jumla na machimbo yake ya kuuza vitu vya kariakoo mfano kofuli, soksi, compass, madaftar, pencel, raster, yebo, vioo, n. K
Ukihitaji vocha za jumla unaenda Tigo makao makuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…