Gangle Honest
New Member
- Sep 30, 2020
- 1
- 0
Naomba kujua ipi ni njia bora ya kufanya biashar ya mahindi ya kukaanga (bisi)Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua ipi ni njia bora ya kufanya biashar ya mahindi ya kukaanga (bisi)Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
Binafsi bisi nilizifanya sana utotoni ukubwani sijawahi fanya. Ila kwa wengi niliona, wamenunua mashine kisha wanakusanya vijana wadogo wadogo wanawabangulia kwa hesabu ya kulipia mahindi+cost ya ubanguaji.Naomba kujua ipi ni njia bora ya kufanya biashar ya mahindi ya kukaanga (bisi)
Ni kweli kuna wengi wasiojua hizo namba wao hutumia nchi. Unaweza kumwambia akuchongee kinu cha nchi 8.Hongera sana Kiongozi kwa kujitoa kwa ushauri
Naomba kujua kinu cha kusaga no. 75 Hiyo namba inamaanisha nini?
Niliuliza kinu #75 mtaani kwangu wakawa hawaelewi
Asante
Mkuu gunia hilo la 43,000 usemalo linakuwa na kilo 106 hadi 112 kama ukipata mahindi mazuri. Anyway nitarudi badae kufafanua hoja zako nyingineMkuu hii biashara nimetoka kuifikiria hivi majuzi sikuishia tu kuifikiria nilijaribu pia kufanya kautafiti kadogo lakin niliishia kuona ni biashara ngumu na inayohitaji mtaji mkubwa sana
Nimejaribu kufanya simpo hesabu kwa taarifa ambazo nimezipata kwa sasa mikoa mingi bei ya mahindi imeshuka inacheza kwenye 43 - 48 elfu kwa gunia na nimejaribu kuulizia kwa mjini dasilam ambako ndio sokoni lengwa la bidhaa za mahindi na mahindi yenyewe bei ni 695 kwa kila sawa na 69500 kwa gunia hapo kuna maswala ya usafiri, ushuru , kuna mambo tena yakwenda kuyachekesha yaani ukipiga gharama ya hizo cost ni mambo tu yakuangukia pua.
Kwa upande wa kuya process kuwa unga ndio uuze unga mtaji ni mkubwa na inaitaji kujipanga kweli
Labda mkuu tushirikishe wew unapataje faida hasa kwa biashara ya kununua mashambani nakuuza mjini.
#Maendeleo hayana chama.
Je, kutakuwa na faida endapo nitaamua kusafirisha unga kutoka mkoani(mfano,MBEYA)kuleta D'slaam??kwa maana ya kuuza kwa Bei ya jumla?Je wapo watu wanao ifanya hii?wanapata changamoto zipi zaidi ukilinganisha na watu wanaoifanya biashara hii wakiwa Dar?Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
Si mara zote hiki kinaweza kufanyika, lazima ustudy soko. Mfano: kama dar wanapata mahindi toka moro au dodoma basi jua ukitoa unga mbeya kwenda dar utaambulia hasara. Ila kama wanatoa mahindi mbeya basi ni sahihi na wewe kutoa unga mbeya na utapata zaidi ya anayesafirisha mahindi kama soko la pumba dar lipo chini. Hii ina maanisha nini? Huwezi kuwapelekea watu wa mkoa mwingine unga kutoka mikoa ya mbali wakati wao wako kwenye msimu au wanatoa mikoa ya jiraniJe, kutakuwa na faida endapo nitaamua kusafirisha unga kutoka mkoani(mfano,MBEYA)kuleta D'slaam??kwa maana ya kuuza kwa Bei ya jumla?Je wapo watu wanao ifanya hii?wanapata changamoto zipi zaidi ukilinganisha na watu wanaoifanya biashara hii wakiwa Dar?
Ok,Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
Bado nipo hapa hapa mjue,jana nimetoka kumdadisi dada mmoja aliyefanikiwa sana kwenye biashara hii,akaishia kucheka na kuniuliza 'na wewe unataka kufanya hii biashara?" Nikamjibu "ndiyo" akasema tu poa,halafu akaniambia " kuna issue moja nzuri sana nimeiona pale kijiweni kwetu" nikamuuliza "ipi" akaniambia " ya kukaanga na kuchoma kitimoto,yaani pale utauza balaa"!! Nikaamua tu kuachana naye na kuendelea na mishe zangu!! Wafanyabiashara mbingu wataisikia tu!Ok,
Kuna yule Jamaa wa Songea alikua akinunua mahindi kutoka kwa wakulima kwa TZS 60,000/- kwa gunia ila ukitaka kununua kwake anakuuzia kwa TZS 450/-, je alikua anapata vip faida?
Duuuh sasa wewe ulitaka auze ramani kwa adui? Kuna njia za kuwaingia sio unaanza tu eti nataka na mimi nifanye labda awe ndugu otherwise hupati kitu.Bado nipo hapa hapa mjue,jana nimetoka kumdadisi dada mmoja aliyefanikiwa sana kwenye biashara hii,akaishia kucheka na kuniuliza 'na wewe unataka kufanya hii biashara?" Nikamjibu "ndiyo" akasema tu poa,halafu akaniambia " kuna issue moja nzuri sana nimeiona pale kijiweni kwetu" nikamuuliza "ipi" akaniambia " ya kukaanga na kuchoma kitimoto,yaani pale utauza balaa"!! Nikaamua tu kuachana naye na kuendelea na mishe zangu!! Wafanyabiashara mbingu wataisikia tu!