Heshima kwenu wakuu;
Hapa buguruni ilala dar kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu biashara za vifaa vya ujenzi. Hivyo basi leo nitajibu baadhi ya maswali machache nitakayoulizwa.
Mkuu nasikia pale buguruni unaweza uziwa mbao famba. Nasikia jamaa wana tape zimekatwa na kuungwa. Pia nasikia na mabati famba kibao. Leta maelezo mkuu