Adolph Jr
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 5,950
- 9,511
π π π π π π π π πππππVip leo App mbona haifunguki kuna shida gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
π π π π π π π π πππππVip leo App mbona haifunguki kuna shida gani ?
Safi Sana ,wabongo tunapenda sana kitonga ,kamseleleko ,hapa watu wamepigwa lakini watakuja kampuni nyingine zenye mahudhui haya haya na watapigwa watu tena.
[emoji23][emoji23] haya mnaendeleaje hapo Malinda you must be millionaires now..Mimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
Aisee jamaa acha usumbufu, huyu mtu nadhani yupo Jakaya Kikwete anatibiwa mapigo ya moyo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]BRO HAYA TUPE MAENDELEO YENU HUKO
Website haifunguki[emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu jamaa inabidi akamatwe kusaidia kupatikana Kwa wamiliki WA hii Ponzi maana tayari wameanzisha nyingine.Ngoja waje Kudhibiti.... unadhani chuki zako zinaweza kuzaa matunda??!... Mlimpigia kura Diamond asipate BET kisa tu ni kada wa CCM... Roho za watanzania wengi zimejaa chuki na kuona watu wanaothubutu wamefeli!
habari mkuu, natamani sana kupata mrejesho wako kwenye hili sio kujua kama unauchungu au huna umepata hasara au hujapata la hasha napenda kujua nikweli kabisa hukuona hii kama utaperi na nini hasa kilikusukuma uione kama kitu kizuri ni nyalaka za usajiri na uwepo wa ofisi na watu wa mwanzoni kulpwa pekee vilikufanya uwaamini na je swala kwamba hawakuwa wakiuza bidhaa wala huduma yoyote halikukupa shaka au hilo pia hukuliwaza kabisa nitafurahi nikipata majibu yakoSikiliza moyo wako!!
Naskia wamesepa na kijijiUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Unadownload Hela?Weka elfu ishirini update mianane kila Saa .
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu tupe mrejeshoUtapeli vp na kujiunga ni bure ndugu... ofisi zinapatikana Pssf tower ghorofa ya 22 ... Tatizo watz wengi tumekaririshwa vibaya
Kekundu kekunduMimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo