Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.
Vipi kiongozi bado unaitetea?
 
Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Duuh naive nigga
 
Hahahaaa kapigwa. Sema mbishi jamaa yupo bado active hapa JF anajichora mwenyewe
 
Jambo zuri jf huwa ni suala la muda aisee kuanzia kwa Ben saanane,
Leo kwako mtoa post.
 
Dah hahaaaa we jamaa umesababisha nimecheka sana.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nadhani ungejiridhisha kwanza kwa kuikagua kampuni ya Kalynda ipo kisheria na inatambulika na Brela na TRA?! ... Ina ofisi ?! Kisha ndo uje hapa kaongea porojo
Hivi wewe hujapigwa pingu tu mpaka leo? Kwahiyo Brela ndio kichaka chenu cha kuhalalisha upigaji?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…