Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Wacha weeSijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Omondii, wajanja wamesepa na kijiji.Nitafute nikuelekeze Kalynda ndo habari ya mjini, mi natengeneza 8,000 kila siku kwa mtaji wangu wa 200,000
Ameshapigwa na kitu Kizito.Jazajuan salamaaa?
[emoji23][emoji23][emoji23]Jazajuan salamaaa?
Unasemaaa?Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
Bado Kuna kitu kina tamba kwa sasa kinaitwa LBL tulipe muda naloKweli kitu kizito kilishapita kwa kichwa
πππ€£
ππβ οΈβ οΈβ οΈNitafute nikuelekeze Kalynda ndo habari ya mjini, mi natengeneza 8,000 kila siku kwa mtaji wangu wa 200,000
NabiiKuna wajanja wameweka makalio huko ofisini tena ghorofani wanasubiri makusanyo ya hela za 'wapumbavu na malofa' kisha kuzipata hizo hela wanatimkia ughaibuni π
DECI ilipopiga hela za Wachungaji kuna watu humu walikuwa hawajazaliwa, wapigaji wamekuwepo na wataendelea kuwepo, muwe makini bandugu mtapigwaaa.
SASA TUKO NA LBL Ahutuambii chochoteWatu walitapeliwa sana
kuna boss wangu.. nae amejaa kweny mfumo!! Ngoja Tuone Mpaka Mwisho, Kma Yaliyomo YamoSASA TUKO NA LBL Ahutuambii chochote
Vipi kimenuka?LBL haimalizi mwezi Mmoja(siku 30).
Kama una pesa itoe