Niulize chochote kuhusu Kalynda E-commerce

Status
Not open for further replies.

First,you need to register as an intern of Kalynda company, the company will give you 1,000 TZS registration bonus and 50,000 TZS experience bonus that will give you a commission of 1988 within 5 days!
 
Kwa hiyo hii ndio e-commerce? JamiiForums mnapaswa muwalinde members na schemes kama hizi zinazopostiwa humu.

Kuna mtu kashikwa shati au?!... Ni maamuzi yako kama unaona haikufai unaachana nayo sio lazma kila unachoona hakikufai wewe kisimfae yoyote... Hii ni biashara huria!
 
Kuna mtu kashikwa shati au?!... Ni maamuzi yako kama unaona haikufai unaachana nayo sio lazma kila unachoona hakikufai wewe kisimfae yoyote... Hii ni biashara huria!

Nenda brela ukague Validity ya hii Certificate afu uje hapa jukwaani kutoa ushuhuda... Nawashauri ndugu zangu tufanye kwanza Research ya mambo ndo tuje kuattack sio kukurupuka kuattack kihisia!
 
View attachment 2348455
Nenda brela ukague Validity ya hii Certificate afu uje hapa jukwaani kutoa ushuhuda... Nawashauri ndugu zangu tufanye kwanza Research ya mambo ndo tuje kuattack sio kukurupuka kuattack kihisia!
Jatu, Mr kuku, deci, qnet zote zilisajiliwa. Swali ni kwamba hiko ulichokiweka ndio e-commerce inavyofanya KAZI?
 
Jatu, Mr kuku, deci, qnet zote zilisajiliwa. Swali ni kwamba hiko ulichokiweka ndio e-commerce inavyofanya KAZI?

Labda wewe unaweza sema E-commerce inaoperate vp!? Mimi sipo hapa kwa ajili ya upinzani ... ndo mana nimesema hii ni biashara huru na hulamizimishwi kujiunga
 
Kumbe ni pyramid scheme!
 
Too good to be true and genuine!
 
ndo ivo mkuu humo ndani kuna mambo ya vip watu kwa kukosa maarifa wanaingia kichwa kichwa
Msikariri, kwenye Kalynda unaweza hata kuamua kufanya kazi peke ako na hakuna anayekubughudhi..Nilifanyakazi peke angu miezi miwili mfululizo Kwa mtaji wa 200,000 kila siku nilikuwa naingiza 8,000....Ila kiwango cha chini cha kuanzia ni 20,000..Acheni woga jaribu bahati yako..
 
Labda wewe unaweza sema E-commerce inaoperate vp!? Mimi sipo hapa kwa ajili ya upinzani ... ndo mana nimesema hii ni biashara huru na hulamizimishwi kujiunga
Uzi wako si unataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiko unachokipigia Debe. Hiyo platform yenu ina ufanano gani na e-commerce kama eBay, AliExpress, Amazon, best buy nk?
 
Uzi wako si unataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiko unachokipigia Debe. Hiyo platform yenu ina ufanano gani na e-commerce kama eBay, AliExpress, Amazon, best buy nk?

Hao eBay,Shoppee,Amazon n.k wote wana kitengo cha marketing ambapo sisi tunafanya kazi ya kuongeza sales ratings kupitia Platform yetu ya Kalynda ...All in all hatupo hapa kwa ajili ya kukuconvince kujiunga... Kama haupo tayari kujiunga Kalynda Nakushauri tu biashara ni nyingi sana ... Tafuta mtaji ujiunge biashara yoyote be free!!
 
Sijui kwanini kuna watu wapo kwa ajili ya kupinga kila kitu.... Afu tabia ya kujifanya kujua bila kufanya research... sio kila biashara ya mtandao ni utapeli dunia imebadilika ... Technology imekua, nyakati zimebadilika!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…