heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Weka miamala mzee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo wenu na nani?Wandengereko ni kabila na sidhani kama ni busara kwa nchi kama Tz kuattack kabila flani flani... ukiona umeishiwa hoja ndo unaanza mambo kama zako... sasa hapa wandengereko wamekujaje mdogo wetu?!
So in nutshell hio platform ni km alibaba,aliexpressKwa nnavyofaham mimi; Kalynda ni Platform ambayo inajihusisha na kitengo cha masoko ya makampuni yanayofanya biashara mtandaoni... Mfano mimi nna kampuni yangu na nauza vitu mtandaoni... lakini kabla mteja hajanunua kitu kwangu atahitaji kujua uzoefu wangu katika mauzo... hapo ataangulia ranking ya mauzo sokoni ukinilinganisha na platform nyengine... na hapa ndipo Kalynda walipotengeneza platform ambayo inashirikiana na kampuni mbalimbali kuongeza selling ratings katika masoko yako... ili kujijengea uaminifu kwa wateja na kutanua soko la kampuni husika!
Sijaelewa kitu hapa naomba nifafanuliwe,Msikariri, kwenye Kalynda unaweza hata kuamua kufanya kazi peke ako na hakuna anayekubughudhi..Nilifanyakazi peke angu miezi miwili mfululizo Kwa mtaji wa 200,000 kila siku nilikuwa naingiza 8,000....Ila kiwango cha chini cha kuanzia ni 20,000..Acheni woga jaribu bahati yako..
Sijaelewa kitu hapa naomba nifafanuliwe,
Nataka nifahamu ufanyaji kazi wa hii kampuni, pili nataka nifahamu hio 8,000 unaipata kwa kufanyaje au ni kitu gani ufanye ili upate hayo malipo
Na anaeweka 20,00 yeye anapata nini ?
Na vigezo gani vitakufanya uwe unastahili hayo malipo. Na pia naomba muweke bayana shughuli mnazojihusisha nazo ili zifahamike isitoshe kusema online market
Kwanini usiwaelekeze ndugu zako, wote wameisha?Nitafute nikuelekeze Kalynda ndo habari ya mjini, mi natengeneza 8,000 kila siku kwa mtaji wangu wa 200,000
Nitashangaa sana kama kuna mtu wa jf atapigwa [emoji3]Wananzengo kuweni makini mnaenda kupigwa.
Unaweza kutoa ushahidi wa e-commerce moja wapo kuwa zina idara za masoko zinazoongeza ratings za seller?Hao eBay,Shoppee,Amazon n.k wote wana kitengo cha marketing ambapo sisi tunafanya kazi ya kuongeza sales ratings kupitia Platform yetu ya Kalynda ...
Toa ufafanuzi wa kuweleweka na sio kuhamisha mada kwa sababu kichwa cha mada kinataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiyo platformAll in all hatupo hapa kwa ajili ya kukuconvince kujiunga... Kama haupo tayari kujiunga Kalynda Nakushauri tu biashara ni nyingi sana ... Tafuta mtaji ujiunge biashara yoyote be free!!
Unaweza kutoa ushahidi wa e-commerce moja wapo kuwa zina idara za masoko zinazoongeza ratings za seller?
Pitia sera za amazon kuhusu reviews na ratings: https://www.amazon.com/gp/help/customer/display.html?nodeId=201929730
Amazon wanawekeza pesa kibao kwenye Machine Learning na artificial intelligence kwa ajili ya kutambua ratings ambazo ni fake (watu ambao hawajanunua vitu), yaani kwamba mnaongeza ratings za seller bila kuwa mnunuzi wa bidhaa za amazon na mtumiaji wa hiyo bidhaa? kitu ambacho ni kinyume na sera za e-commerce karibu zote ulizoziweka.
![]()
How to avoid falling victim to fake reviews when shopping | CNN Underscored
By taking the time to actually read reviews, doing your research and using analysis services like Fakespot and ReviewMeta, you'll more easily be able to sift the real reviews from the fake on sites like Amazon.edition.cnn.com
Toa ufafanuzi wa kuweleweka na sio kuhamisha mada kwa sababu kichwa cha mada kinataka kuulizwa swali lolote kuhusu hiyo platform
Njoo pm nikuwekee miamala yangu, hapa siwezi litaonekana jina na numberWeka miamala mzee
Hizo kampuni za fake reviews ambazo zinefunguliwa kesi na Amazon hazifanyi KAZI kama mnavyofanya nyie! Hazialiki watu Kwa nini nyie msisitizo ni kualika, na bidhaa zipi ambazo mna review!Hiyo testimony ilikuja baada ya Kashfa Kuwakuta Amazon juu ya Kampuni zinazofanya kazi kama Kalynda na ndio maana ... mikataba ya Fake reviews,Fake buy na Fake Youtube views ipo kinyume na sheria ya umoja wa kimataifa wa Haki ya mteja lakini haimaanishi kwamba Hizi biashara hazipo.... Ila tu mikataba imekuwa ya siri ili kulinda Brand za kampuni husika.... Beware biashara zina mambo mengi....!!! Usimuone Majizzo kaanzisha E fm na wewe unataka kuanzisha Radio hujui nyuma yake kuna nani,, nani anamboost au anafanya biashara zipi zinazombackup!
Hizo kampuni za fake reviews ambazo zinefunguliwa kesi na Amazon hazifanyi KAZI kama mnavyofanya nyie! Hazialiki watu Kwa nini nyie msisitizo ni kualika, na bidhaa zipi ambazo mna review!
Kwa hiyo nyie mna Siri ya jinsi Amazon ilivyokuwa?
Mhariri , Moderator na JamiiForums dhibiti Ponzi schemes na Pyramid scheme kama hizi zinazotangazwa humu na kuifanya jF kuwa salama.Basi kama hutaki kualikwa unaweza kuacha na kufanya mambo yako mengine.... sisi hatujamshika mtu shati!! Uwekezaji na biashara zipo nyingi sana ... hata kubet pia ni kazi!!