KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
😂😂 akha!Kwa nini unskilled wengi wa viwandani wako kama watu ambao wamechanganyikiwa?
😂😂 akha!Kwa nini unskilled wengi wa viwandani wako kama watu ambao wamechanganyikiwa?
Naomba ufafanuzi zaidi kwenye masuala mawili uliyoyaongelea:Mkuu kazi ngumu .
Malipo machache
Kuna majini pia kule ndo mana wanakonda sana sana....
Kuna viwanda mkiingia mnaanza kusali kwanza ndo muanze kazi...
Kuna kitu kinaitwa malengo..
Kuna watu wanaitwa majento kila kiwanda wapo kasoro kwa viwanda vya cement tu
Majento ni watu ambao wanakuwa wanasimamia malengo yaani mara nyingi ni wakenya n wana hatari kuhusu suala la malengo.Naomba ufafanuzi zaidi kwenye masuala mawili uliyoyaongelea:
1. Hawa watu wanaoitwa Majento, kazi yao nini na wanahusika na nini
2. Majini: Yanafanya nini huko na yanakuwa katika muonekano gani? Ni viwanda vya aina gani vyenye hawa majini?
Kufika malengo ndo mnalipwa?Mkuu kazi ngumu .
Malipo machache
Kuna majini pia kule ndo mana wanakonda sana sana....
Kuna viwanda mkiingia mnaanza kusali kwanza ndo muanze kazi...
Kuna kitu kinaitwa malengo..
Kuna watu wanaitwa majento kila kiwanda wapo kasoro kwa viwanda vya cement tu
Duh ni balaa saiv bakresa na mo wanalipaje kwa kibarua?Majento ni watu ambao wanakuwa wanasimamia malengo yaani mara nyingi ni wakenya n wana hatari kuhusu suala la malengo.
Hawa kama ni wakiume basi huwa wanakula sana dada zetu na kama ni wa kike basi utawahonga sana..
Majini siwezi kusema kiwanda gani specifically ila yapo na yapo kwa mfumo wa kutokuonekana ila tuu uyajikuta unalewa na hiyo kazi na kufanya miaka na miaka
Asante
Leo umekiwasha balaaKaribuni wakuu...
Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani
Hapana ila inaweza sababisha mzigo mkubwa kesho yakeKufika malengo ndo mnalipwa?
Nimekuelewa vizuri hapa. Ni kweli hapa kwenye kulewa kazi ipo sana, nimekumbuka kuna ndugu yangu alifanya kazi miaka mingi kiwanda fulani hivi cha huko Arusha, akakonda akachakaa, malipo ni madogo lakini anakomaa tu. Ndugu waliungana sana kumshawishi aiache lakini wapi, mwishowe baada ya miaka mingi alikuja kuiacha lakini kwa kushinikizwa sanaMajento ni watu ambao wanakuwa wanasimamia malengo yaani mara nyingi ni wakenya n wana hatari kuhusu suala la malengo.
Hawa kama ni wakiume basi huwa wanakula sana dada zetu na kama ni wa kike basi utawahonga sana..
Majini siwezi kusema kiwanda gani specifically ila yapo na yapo kwa mfumo wa kutokuonekana ila tuu uyajikuta unalewa na hiyo kazi na kufanya miaka na miaka
Asante
Kwanini mkuu..Leo umekiwasha balaa
Ndo hayo majini mkuuNimekuelewa vizuri hapa. Ni kweli hapa kwenye kulewa kazi ipo sana, nimekumbuka kuna ndugu yangu alifanya kazi miaka mingi kiwanda fulani hivi cha huko Arusha, akakonda akachakaa, malipo ni madogo lakini anakomaa tu. Ndugu waliungana sana kumshawishi aiache lakini wapi, mwishowe baada ya miaka mingi alikuja kuiacha lakini kwa kushinikizwa sana
Waarabu wana mambo sana hayo ya kuzuzua watu wafanye miaka na miaka! wanakuambia chelewa kazini, tukana mtu, kosana na supervisor hufukuzwi ila kosa kubwa ukiiba tu wakijua unafukuzwa.Majento ni watu ambao wanakuwa wanasimamia malengo yaani mara nyingi ni wakenya n wana hatari kuhusu suala la malengo.
Hawa kama ni wakiume basi huwa wanakula sana dada zetu na kama ni wa kike basi utawahonga sana..
Majini siwezi kusema kiwanda gani specifically ila yapo na yapo kwa mfumo wa kutokuonekana ila tuu uyajikuta unalewa na hiyo kazi na kufanya miaka na miaka
Asante
Kule kuzika mbuzi kumi wakiwa wazima ni kawaida ...Waarabu wana mambo sana hayo ya kuzuzua watu wafanye miaka na miaka! wanakuambia chelewa kazini, tukana mtu ila kosa kubwa ukiiba tu wakijua unafukuzwa.
Na ukifukuzwa wanakua kama wamekutia nuksi kuja kupata kazi sehemu nyingine ukadumu inakua ni mtihani.
Walimwengu hawana huruma ni zaidi tuwajuavyo.
fafanua matukio ya viwandani una ufahamu mzuri watu wajue mkuu!Kule kuzika mbuzi kumi wakiwa wazima ni kawaida ...
Kule kabla ujaingia unaambiwa ya humu yaache humu humu.
Kuna jamaa aliwahi kukatwa na mashine aiseee mambo yaliyoendelea pale nikasema basi na kiwanda kipo vingunguti pale
Mkuu kuna kitu naandaa hapa takuja kutoa ushuhuda mkubwa sanafafanua matukio ya viwandani una ufahamu mzuri watu wajue mkuu!
Maisha ya kimaskini sana yanaumiza! Nilichukia kazi za kuajiliwa siku nilipotupiwa majini waarabu washenzi sijui walitaka kunitoa sadaka.. Ila Mungu Yupo
Nawaonea sana huruma watu wa viwandani maana maisha ni Hand to Mouth No future at all.
"Jesus Is My Saviour and My Salvation"
poa poaMkuu kuna kitu naandaa hapa takuja kutoa ushuhuda mkubwa sana
5k per day uko tayari?Niunganishie kazi kiwanda cha mo kule kiwalani/vinginguti mkuu, unaweza?
Duu. Nipo tayari tafanyeje5k per day uko tayari?
mm natak kazi vibarua mkuu z viwandaniKaribuni wakuu...
Niulize Chochote kuhusu kazi za viwandani