matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
karibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu karibuKwakweli nina maisha magumu sijui nianzie wapi?
hahahahaKama kuandika tu imekuwa ngumu, itakuwaje kuhusu hizo mbinu[emoji482]
karibu, chigogoMmh!!!
mkuu unamaisha magumu au laki tano?Nina laki 500000 nifanye kitu gani ili nitoboe
Ninahitaji mtaji wa 500,000
Unataka kuipata ndani ya Muda ganiNinahitaji mtaji wa 500,000
aisee!!!Mimi nataka kuwa mama mwenye mafanikio lakini sitak changamoto za kufika napotaka je unanishaurije!?😉
Hata sasa hivi ofcourse!Unataka kuipata ndani ya Muda gani
wenye maisha magumu hawataki kujitokeza mkuu, na mimi nawasubiri mkurugezi🙄🙄🙄🙄Mpaka sasa ni blah blah tu, watu tunasubiri mbinu wewe unatupigisha story
Sawa mkuu, umenipa kazi ngumu sana maana nilikuwa najua maisha magumu yanatatuliwa hata na 1000 au 2000 kama mtaji, sasa 500000 mtaji unataka nitoe desa la watu wenye maisha mazuri.Hata sasa hivi ofcourse!
Duh! Hiyo siwezi Iseee! Hila nimewasaidia wanaoweza!Sawa mkuu, umenipa kazi ngumu sana maana nilikuwa najua maisha magumu yanatatuliwa hata na 1000 au 2000 kama mtaji, sasa 500000 mtaji unataka nitoe desa la watu wenye maisha mazuri.
Basi nikushauri
Zunguka Jijini makazi mapya ( tafuta kibarua cha ujenzi). kwa siku huwa ni 15000. Ukikomaa siku sita utakuwa na 90000. toa 10000 ya kujifanyia service ikiwemo na msosi.
80000 nunua karanga sokoni Kilo moja inauzwa 2500. na charges nyingine tufanye 3000.
Utanunua kilo 26.
kwa discount unaweza kupata kilo 30 kwa sababu utakuwa umefanya bulk purchase.
Kwa siku 14, Tukitegemea faida ya 5000 kwa kilo. utakuwa na 1.5Mil.
Laki tano Unatumia kama kama mtaji unaotaka, laki tano unamtolea mahali mchumba, laki tano unampa mtaji wife.
ila nitake radhi, kwa kunipa kazi hii mkuu