Niulize chochote kuhusu kutoboa ukiwa na maisha magumu. Natoa mbinu za Bure ila ngumu kama unamoyo lelemama

Mkuu nipe hizo mbinu ata kama ni ngumu tutaenda nazo tu.
asante mkuu

kwanza kupunguza matumizi ya fedha. hizi ni extreme kidogo.


1: Usioge na Sabuni. Maji yanauwezo wa kusafisha wale bakteria wanaoleta harufu mbaya. Hapa utapunguza gharama za sabuni na maji.
2: Sio lazima ununue dawa ya meno, unaweza kutumia shapa mandashi kama mbadala na ukadumu nayo muda mrefu kwa kaunga kadogo tu.

anzia hapo mkuu
 
Mkuu sio ngumu, sema hatuna utayari wa kufanya mambo magumu.
Tusiombe mambo yawe marahisi, bali tuombe uwezo wa kukabliliana na mambo magumu
Inategemeana kwa kila mmoja.
Mimi naweza nikabeba zege kuliko kukaa barabarani kuuza karanga mia mia.
 

U wish!
 
[emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…