Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,058
Exactly Mkuu.hayo maswali mkuu ni vema ungeiuliza serikali inayotoa lesen ya biashara hii na ilioweka bodi ya michezo ya kubahatisha hao ndo wangekupa majibu mazuri
Mkuu tumetrain vizuri tu cashier wetu na kama unapata shida yeyote dukani unaweza kumuuliza super cashier au supervisor endapo hutopata huduma kama unavyostahiliaisee hongereni mnajitahidi sana ingawa kwe upande wa mtandao kusumbua cku zenye mechi nyng mnatuletdown sna hvyo weng wetu hubet kwe kampun zngne cku za weekend nna swali moja kuhusu kitu kinaitwa fastbet..hivi mmewalimisha vizuri wahudumu wenu kuhusu hii kitu? maana mi nmesoma kwe site yenu maelekezo mliotoa nkaweka mke wangu kwa kupitia pc yangu then nkaenda branch ya fire na zile namb kutoa mkeka naona watu wanantolea macho tu....
Kwanza download app kwenye siteMimi nataka kujiunga kwenye cm nafanyaje ili nijisajili
Mbona option ya over/under kunatime zingine imerudiwa mara mbili na odd zake zipo tofauti natumia application ya meridian betNiulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
Naomb kabla ya yoote ungejitambulisha kwanza wew n nan, sio kutafut tu sifa za kijinga af uwalishe watu matango pori.. Skaz ht ofis yao ilipo huifaam...Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
Ajitambulishe kwanza na mm nimpe POVU languNaomb kabla ya yoote ungejitambulisha kwanza wew n nan, sio kutafut tu sifa za kijinga af uwalishe watu matango pori.. Skaz ht ofis yao ilipo huifaam...
Sio povu najarbu tu kuwek sawa, usipaniki bro, aya sasa twende sawa
Hata email hawajibu wapuuzinyie haiwezekai watu tumeweka pesa siku tatu zilizopita mpk leo hazijafika...mmetuambia tuwatumie sms za tigopesa tumewatumia mmekaa tu kimya cku zote hizo.................hlafu hamtoi taarifa wala nnpk tutumie vocha zetu kuwapigiakuulizia.......mna mambo ya ovyo sana
Kwa nn panashida ktk kujidajili? NiambieNiulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua