Niulize chochote kuhusu Meridianbet

Niulize chochote kuhusu Meridianbet

aisee hongereni mnajitahidi sana ingawa kwe upande wa mtandao kusumbua cku zenye mechi nyng mnatuletdown sna hvyo weng wetu hubet kwe kampun zngne cku za weekend nna swali moja kuhusu kitu kinaitwa fastbet..hivi mmewalimisha vizuri wahudumu wenu kuhusu hii kitu? maana mi nmesoma kwe site yenu maelekezo mliotoa nkaweka mke wangu kwa kupitia pc yangu then nkaenda branch ya fire na zile namb kutoa mkeka naona watu wanantolea macho tu....
Mkuu tumetrain vizuri tu cashier wetu na kama unapata shida yeyote dukani unaweza kumuuliza super cashier au supervisor endapo hutopata huduma kama unavyostahili
 
nyie haiwezekai watu tumeweka pesa siku tatu zilizopita mpk leo hazijafika...mmetuambia tuwatumie sms za tigopesa tumewatumia mmekaa tu kimya cku zote hizo.................hlafu hamtoi taarifa wala nnpk tutumie vocha zetu kuwapigiakuulizia.......mna mambo ya ovyo sana
 
Weekend mbona huwa mnazingua na mnapenda kutumia kiujinga chenu ya "session expired"
Punguzeni huo ujinga maana wengine biashara tunafungua weekend ili tupige kazi.
 
Niulize chochote kuhusu offer za meridianbet nitakusaidia au option yeyote inayokusumbua
Naomb kabla ya yoote ungejitambulisha kwanza wew n nan, sio kutafut tu sifa za kijinga af uwalishe watu matango pori.. Skaz ht ofis yao ilipo huifaam...

Sio povu najarbu tu kuwek sawa, usipaniki bro, aya sasa twende sawa
 
Hii kampuni mnazingua has a kuhusu kujiunga kwa non msiwe na option ya kulogn kama mgeni ?

Kwa sababu kwa shida kubwa kwenye kujiunga nimeishadownload app ya meridianbet ckuitumia hadi karibu league zinaisha kwa sababu ya utata kwenye usajiri na hasa kwenye promo code
 
Naomb kabla ya yoote ungejitambulisha kwanza wew n nan, sio kutafut tu sifa za kijinga af uwalishe watu matango pori.. Skaz ht ofis yao ilipo huifaam...

Sio povu najarbu tu kuwek sawa, usipaniki bro, aya sasa twende sawa
Ajitambulishe kwanza na mm nimpe POVU langu
 
Mkuu, kwenye zile odds zenye nafasi kubwa ya kushinda mnatupunja sana.. Sasa mnapoweka 1.27 hapo faida ni ndogo given risk ya kukosea na kupoteza stake yoote
 
Nimekosea kutuma pesa pale kwenye inference namba mmenidhulumu nawatumia email bado mmekausha
 
nyie haiwezekai watu tumeweka pesa siku tatu zilizopita mpk leo hazijafika...mmetuambia tuwatumie sms za tigopesa tumewatumia mmekaa tu kimya cku zote hizo.................hlafu hamtoi taarifa wala nnpk tutumie vocha zetu kuwapigiakuulizia.......mna mambo ya ovyo sana
Hata email hawajibu wapuuzi
 
Mie swali langu au ushauri ni hawa wafanyakazi wenu kwanini wanakuwa na majibu mabaya na kutoa siri za wateja uwe umekula au umeliwa.pia mbona mmepunguza computer za kubetia kwenye vituo vyenu mnaona raha wateja wenu tunavyobanana tukibeti ni hayo tu
 
How to withdraw money by M-PESA?coz nilikuwa nimejiunga nikawin buk sita nilipoitoa haikutoka ila kwenye account ya meridian ilikuwa imekatwa tiyar
 
Jaman nisaidieni kupata app ya meridian bet.. Nibetie kwa simu
 
Naomba niulize hivi, zamani ukiwa unabet online na mechi ikiisha yaani baada ya dk 90 kama umepatia utabiri wanakuwekea rangi ya njano kwenye hiyo game husika na ukikosea wanakuwekea alama nyekundu. Mbona siku hizi hakuna kitu kama hicho ?. Upatie au ukosee hakuna alama yoyote
 
Back
Top Bottom