Heci JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 3,591 Reaction score 6,114 Apr 18, 2024 #161 kimaus said: Nyuki wanatumia direction ya jua kujua anapoishi, ila kuna elimu kubwa sana kwenye hili. Click to expand... Fafanua
kimaus said: Nyuki wanatumia direction ya jua kujua anapoishi, ila kuna elimu kubwa sana kwenye hili. Click to expand... Fafanua
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Apr 19, 2024 #162 mwandende said: Kwenye mzinga wa nyuki kunakuwa na malkia wa ngp? Na kwann nyuki dume akifanya mapenzi anakufa? Lakini malkia anaishi? Click to expand... Malkia ndiye final kwenye himaya; "siri zake" lazima zilindwe haswa kwa heshima yake na jamii husika. The best option ya kulinda siri hizo ni kifo tu kwa mhusika baada ya "kuzionja au kuziona". Sababu ndio hiyo.
mwandende said: Kwenye mzinga wa nyuki kunakuwa na malkia wa ngp? Na kwann nyuki dume akifanya mapenzi anakufa? Lakini malkia anaishi? Click to expand... Malkia ndiye final kwenye himaya; "siri zake" lazima zilindwe haswa kwa heshima yake na jamii husika. The best option ya kulinda siri hizo ni kifo tu kwa mhusika baada ya "kuzionja au kuziona". Sababu ndio hiyo.