Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

Niulize chochote kuhusu Nyuki na Asali

Kwenye mzinga wa nyuki kunakuwa na malkia wa ngp?
Na kwann nyuki dume akifanya mapenzi anakufa?
Lakini malkia anaishi?
Malkia ndiye final kwenye himaya; "siri zake" lazima zilindwe haswa kwa heshima yake na jamii husika. The best option ya kulinda siri hizo ni kifo tu kwa mhusika baada ya "kuzionja au kuziona". Sababu ndio hiyo.
 
Back
Top Bottom