Niulize chochote kuhusu programming language

Inategemea unataka kuwa competent na kitu gani maana programming imegawanyika sehemu nyingi

1.web developer
2.mobile developer
3.game developer
4.machine learning

Na nyingine nyingii sasa wewe hapo inategmea
 
Unanipima mkuu alafu mm sipimiki brothers subiria darasa den uone najua au sijui
Sikupimi dogo ila hako kaswali nilikokutwanga kana mtego mdogo tu sema we mwenyewe umeamua kujaa

function greet() {
a = "indian"
}

Mkuu hii ingekuwa local variable kama ingeandikwa hivi
function greet() { let a = "indian" }
 
VARIABLE
variable ni kama kitambulisho cha kitu flani variable kwenye programming inatumika kama kitambulisho cha kitu sign

Variable kuna variable name, na variable namba
Mfano wa variable name
$user,$jamiiformu, $register etc kwa hyo kupitia variable ndo unaweza kuiita hyo varible na kuamua kufanya jambo flani.

Hebu tuchukulie huu mfano

$username ="juma";

Echo "username ";

Yaani hapo umeiita hiyo variable ya usersname

So output apo ni juma.
 
Sikupimi dogo ila hako kaswali nilikokutwanga kana mtego mdogo tu sema we mwwnyewe umeamua kujaa

function greet() {
a = "indian"
}

Mkuu hii ingekuwa local variable kama ingeandikwa hivi

function greet() {
let a = "indian"
}
Na global variable jee?
 
Na global variable jee?

Na global variable jee?
function greet() { a = "indian" }

Mkuu kwenye JavaScript kama variable haijawa declared kwa let au var hata kama iko ndani ya function hiyo inapoteza sifa ya kuwa local variable

Naomba pitia pitia mapdf yako halafu rudi ukubaliane na mimi kuwa hapa a ni global variable au tumuite Stefano Mtangoo akupige msasa
 
Inategemea unataka kuwa competent na kitu gani maana programming imegawanyika sehemu nyingi

1.web developer
2.mobile developer
3.game developer
4.machine learning

Na nyingine nyingii sasa wewe hapo inategmea
Hivi zile porno za cartoon wanatengeneza kwa language ipi. Nataka kujifunza
 
hivi hizi chatbot za automatic reply zinatengenezwa kwa language ipi
 
Wakuu nisaidieni kuelewa class method na static method jinsi ya kuzitumia, najifunza python.
 
Some people who commented in this thread have already proved to me that this person is not compentent enough to teach anybody programming....He also simply a bigginer on programming.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…