Niulize chochote kuhusu programming language

Mkuu ninaufatilia vzr na usikate tamaa dhidi ya wanaokukatisha tamaa
 
Wadau kwema
Niulize chochote kuhusu programming language
1.PHp
2 javascript
3.mysqli

Additional java.
Jquery na ajax.

Karibuni.

Updated:
Programming language ni kitu haswa? Wewe unaelewa nini kuhusu programming languages?

Kaa hapa hapa utajifunza mengi.

Programming languages ni lugha ya computer inayoamuru kumpyuta kufanya jambo flani ambalo mhusika anahitaji yaani unaweza kufanya kila kitu unachotaka kwenye programming language.

Kwa kifupi zaidi ni command language.

Programming language zipo nyingi saana ia nitataja chache ambazo wengi ndo tunatumia

Zifuatazo ni programming languages
1.PHP
2.JAVA
3.JAVASCRIPT
4.PYTHON
5.C
6.C#
7.SWIFT
8.RUBY
9.DART
10.KOTLIN
Special
Mysqli.

kwenye hii mada mimi nitaenda kuzungumzia
Baadhi ya programming language indeep
1.PHp
2.JAVA
3.JAVASCRIPT
4.MYSQLI

Itaendelea...

Teari tumeshafahamu maana ya programming language sasa tunaenda kuzungumzia vitu ambavyo tunapaswa kuvifahamu pale tunapojifunza lugha hizi kwa bahati nzuri sheria ni zile zile sema kwenye uandishi ndo kuna tofauti.

VITU VYA MUHIMU UNAPASWA KUFAHAMU UNAPOSOMA PROGRAMMING LANGUAGES.
Hizi ndo tunaziita concept.

1.VARIABLE
2 ARRAY
3.FUNCTION
4.IF ELSE STATEMENT
5.COMMENT
6.LOOP
7.DATE
8.MATH OPERATOR
9.LOGICAL OPERATOR
10.SWITCH

Zipo nyingi lakini ukiweza kuzi master hizi vizuri utaona programming languages ni rahisi saaana hii ndo concept zenyewe

Nitakuja kuelezea moja moja na mifano yake.

Update:
Mods naomba mbadilishe kichwa cha huu uzi
MUANDIKE JIFUNZE PROGRAMMING KWA LUGHA YA KUSWAHILI.

hivi kwanni watu wanazipa priority kubwa android app kuliko web based app?
 
Swali unapotak kusom hiz kwa sisi bigginners unatakiw uzingatie unachotak kutengenez au unatakiw ufate required rank fulan ya kuzisom hzo language
 
Pia inakatisha tamaa mtu unatumia mda wako unaandika hapa alafu anakuja mtu ana kukebehi, kama wewe unaona ni kazi rahisi ungekuja uandike hapa au kama unajua sana why usinde na wewe google uje utufundishe hapa? Mnazingua.
Kaka kuna mda hao ata mm nawez nikaandik kitu kwakukosea ili nijue zaid maan kuna wataokuja kunicorect tumia kma adv
 
Back
Top Bottom