Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,208
- 2,767
kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri.
Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri niulize hapa hapa.
NB:kwa faida ya wengi usitumie lugha ya kingereza maana sitakujibu swali lako.
kama hujalizika na jibu la swali lako usikejeli, kwa kuwa jf wengi ni great thinker najua watakuja wengine kukusaidia kujibu swali lako.
Kumbukeni hili wakuu
sijaandika huu uzi kwa kujinasibu na kujitangaza jf, kwamba eti mimi ninajua sana siri ya utajiri.
lengo langu kuu ni kuweza kujadili hili somo muhimu ambalo hata shuleni huwezi ukalipata,,!
naelewa wazi kwamba jf kuna watu wana uwezo mzuri sana wa kuelezea kupita hata mimi.
mimi naamini kwamba mawazo ambayo mimi nayawaza kila siku hayawezi kulingana na ya kwako, hata na wewe siwezi nikajua unachowaza
karibuni sana kwa mdahalo.