Niulize chochote kuhusu siri ya kuwa tajiri

Niulize chochote kuhusu siri ya kuwa tajiri

Swali nzuri?

1, mimi nina ng'ombe 16 pamoja na mbuzi 20
pia ninafunga kuku wakienyeji na nimeweka mkatamba na mfanya biashara mmoja kila baada ya miezi miwili anakuja kununua kuku na mbuzi

2, nina mashamba ya kilimo pamoja na bunga heka 90.
kijijini

3, nina duka la ushonaji nguo za kina baba na kina mama pia nimeajili watu.

4,nina piki piki mbili ambazo pia nimeajiri vijana.

5, nafanya biashara ya kuwanunulia wakulima wezangu mpunga pamoja na mazao mengine.

6, nina majembe matatu ya kukotwa na ng'ombe, ambayo ikifika wakati wa masika nafanya biashara ya kuwalimia amba hawana ng'ombe

Hongera mkuu labda una ndoto za utajiri wa kibongo(gari ndogo na vyumba viwili) ila ule utajiri hasa wa kina Trump,Patrick Ngowi,Mengi,Rostam basi sahau kabisa!! Matajiri wengi wenye ukwasi wa kutisha wamefanya wizi,wameua,wameuza unga,wamefanaya ujangir wa kuua tembo,wamedhulumu,wameiingiza nchi hasara sana! Kama wewe unasubiri kutoka kwa kufuga kuku/ng'ombe basi utasubiri miaka 100.
 
Utajiri ni neno lina tafsiri nyingi,ukisikiliza wimbo wa Waswahili-Kila mtu na starehe yake amefafanua mtizamo wa neno tajiri,utajiri wa gangster yeye kumiliki ghetto,utajiri wa wasomi kupanda vidato tu,utajiri wa kibongobongo gari ndogo na vyumba viwili..

"I'm in Trump Tower You see me amongst earners
Started with the nick now I see 100bricks,Started on the corner now a nikka on 106----Critical acclaimed JF member KK3
Trump_tower.jpg
 
Huyu shy land tangu anunue smartfon imekuwa shida maan jz kaleta uzi wa kukejel waliosoma kamponda mpaka braz ake kuwa ni ombaomba kisa yy kapewa shamba la urithi na kuweza kununua ngombe wake na kuja dar kuleta mazao; kwel nimeamin elim hata kidogo wakati mwingine inasaidia maana angeenda shule hata kidogo asingeandika huu uzi halaf anajikanyaga kiasi hichi
 
Nimefwatilia uchangiaji wa mada...inaonekana bado tuna mtizamo hasi sana..mtu anaweza kuja na mada nzuri lakini wachangiaji wanaipotosha..hapo ndio uswahili unaingia..wenzetu weupe wana ustaarabu flani wa kuheshimu mawazo ya mtu na kustahimili

Nakubaliana na wewe kabisa watu wako busy na u-half empty badala ya kuangalia kwenye u-half full. Kila mmoja anaweza kuwa na definition yake ya utajiri hupaswi kumlazimisha mtu aifuate yako. Huyu msukuma kuna vitu anachemka sana but kuna vitu naona kama yuko sawa ( at least kwa opinion yangu),kwanini vibovu asiache mwenyewe vzr wakachukua wale wanaochukua? Lakini pia hata yeye yupo kwenye process ya kugrow aachwe agrow. Tusimforce kukimbia kabla hajatambaa na I'm sure wapo wengine kwenye level yake so wanabenefit pia.
 
Na mimi nimeshangaa sana! Kuona mtu uliyejitolea kutoa elimu ukashanazwa na swali lililopo ndani ya mada husika!

Very interesting....

Yaani mimi ndo nmeshindwa hata kushangaa mi navyoelewa ku-difine the term of da topic ndo jambo la kwanza sasa ameanza kukimbia maswali mapema yote namna hii mh!
 
Back
Top Bottom