King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Swali nzuri?
1, mimi nina ng'ombe 16 pamoja na mbuzi 20
pia ninafunga kuku wakienyeji na nimeweka mkatamba na mfanya biashara mmoja kila baada ya miezi miwili anakuja kununua kuku na mbuzi
2, nina mashamba ya kilimo pamoja na bunga heka 90.
kijijini
3, nina duka la ushonaji nguo za kina baba na kina mama pia nimeajili watu.
4,nina piki piki mbili ambazo pia nimeajiri vijana.
5, nafanya biashara ya kuwanunulia wakulima wezangu mpunga pamoja na mazao mengine.
6, nina majembe matatu ya kukotwa na ng'ombe, ambayo ikifika wakati wa masika nafanya biashara ya kuwalimia amba hawana ng'ombe
Hongera mkuu labda una ndoto za utajiri wa kibongo(gari ndogo na vyumba viwili) ila ule utajiri hasa wa kina Trump,Patrick Ngowi,Mengi,Rostam basi sahau kabisa!! Matajiri wengi wenye ukwasi wa kutisha wamefanya wizi,wameua,wameuza unga,wamefanaya ujangir wa kuua tembo,wamedhulumu,wameiingiza nchi hasara sana! Kama wewe unasubiri kutoka kwa kufuga kuku/ng'ombe basi utasubiri miaka 100.