Raila Is The Most Popular Politician In Kenya Akifuatiwa Na Mpinzani Wake Uhuru Watatu Ni Makamu Wa Rais Willium Ruto Wa nne Ni Makamu Wa Zamani Wa Rais Kalonzo MusyokaKati ya Raila na Uhuru nani ana ushawishi mkubwa kwa wanainchi?
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
If is the most popular mbona anapoteza uchaguzi Mara kadhaa sasaRaila Is The Most Popular Politician In Kenya Akifuatiwa Na Mpinzani Wake Uhuru Watatu Ni Makamu Wa Rais Willium Ruto Wa nne Ni Makamu Wa Zamani Wa Rais Kalonzo Musyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Siasa Za Kenya Na Tanzania Ni Tofauti Kiasi Kwa Vitu Nyingi. Siasa Za Bongo Zimejengwa Kwa Mithili Ya Kichama Zaidi Ilihali Kenya Siasa Zao Ximejengwa kwa midhili Ya Ukanda, Ukabila Na Daraja Za Kiuchumi Ya Wenye Nacho Na Wasio Nacho.Kati ya Raila na Lowasa nani ana ushawishi