Niulize Chochote Kuhusu Uchaguzi Mkuu Kenya.

Niulize Chochote Kuhusu Uchaguzi Mkuu Kenya.

JFKAMANDA

Senior Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
122
Reaction score
45
Wana Jf Habari Za Leo? Mimi Kamanda Jf Nimejitokeza Mbele Yenu Ili Mniulize Swali Lolote Linalohusiana Na Siasa Za Kenya. Ni Imani Yangu Kwamba Mtauliza Maswali Yenye Hekima Kwa Pamoja Nitasaidia Kuyachambua Kwa Makini Kadri Nitakavyoweza. Uliza Swali Lolote Ilimradi Lihusu Uchaguzi Wa Kenya 2017.
Karibuni Sana.

Jf Kamanda
Mchambuzi Siasa Za Kenya.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya Raila na Uhuru nani ana ushawishi mkubwa kwa wanainchi?

ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]
 
Raila Is The Most Popular Politician In Kenya Akifuatiwa Na Mpinzani Wake Uhuru Watatu Ni Makamu Wa Rais Willium Ruto Wa nne Ni Makamu Wa Zamani Wa Rais Kalonzo Musyoka

Sent using Jamii Forums mobile app
If is the most popular mbona anapoteza uchaguzi Mara kadhaa sasa

Don't tress urself with knowing all answers to every question. Don't worry nobody will be clever enough to ask you
 
Kati ya Raila na Lowasa nani ana ushawishi
Siasa Za Kenya Na Tanzania Ni Tofauti Kiasi Kwa Vitu Nyingi. Siasa Za Bongo Zimejengwa Kwa Mithili Ya Kichama Zaidi Ilihali Kenya Siasa Zao Ximejengwa kwa midhili Ya Ukanda, Ukabila Na Daraja Za Kiuchumi Ya Wenye Nacho Na Wasio Nacho.
So Lowassa Ana Umaarufu Zaidi akiwa na Chama Chake Lakini Hajamfikia Raila Amolo Odinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
INAONEKANA NASA WANA NAFASI KUBWA MNOO YA KUSHINDA MWAKA HUU LAKIN UKWELI WAKIKUYU WATAKUBAL KUACHIA NCHI. KWA MAANAA WASHAJIONA KM KENYA N YAO HAO WENGINE WANAONEKANAA KM WAKUJAA WANAOTAKA KUMILIK NCHI ISIYO YAO.
 
Back
Top Bottom