Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kuongea uongoNI WACHAWI SANA WADADA WA SIKONGE. HATA UKIKUTANA NAYE MKOA WA MBALI KAA NAYE MBALI. WANAJIFANYAGA WAPOLE ILA NI WANGA BALAA.
WANAKUPA LIMBWATA HALAFU FAMILIA YOTE INAHAMIA KWAKO KUANZIA MAMA MKWE HADI NDUGU WENGINE. NA HAWAONDOKI NG'O!
Waliniuzia chai sio? Niliogopa sana.Siyo kweli kwamba Koboko anaweza kumgonga mtu aliye ndani gari
Huu uzi niuanzisha mimi wewe ndiye unayetakiwa uchukue time maana hujaitwa na itoshe kusema wewe ni mwanga ndiyo maana ukayajua hayoMkuu siitaji ligi na wew.... itoshe kusema ni sehemu moja ya hovyo sana...Ni sehemu ambayo Ina ushirikina mwingi Sana.......
Mkuu Naomba usijisumbue tena kunijib KILA mtu achukue time zake pia endelea kuamini KUA sikonge ni eneo ndani ya mji wa TORONTO.
Kwa habari za watumishi siwezi kulewa kwa kuwa si mtumishi wa Hal mashauliKimeo pale ni afisa utumishi, amekuja na upuuzi flani ati watumishi wa Sikonge wanakopa sana, ameweka urasimu usiona maana kukopa mpaka barua ipite kwa mkuu wa idara, na DED, ndio aingize makato na hashindi ofisini dah watumishi wamelalamika na benki lakini ndio kaamua labda mwalimu Seleman amwambie arekebishe mambo, watu wanakopa kwa shida sio kwa raha
Huyo bibi haeleweki na bado hajapewa ofisi / anakaimu
Hapana walikuwa wanazuia kipindi magari yanazuiwa kusafiri usiku kwa sasa yanaruhusiwa barabara ni rami saa 5 au saa 6 usiku upo MpandaHivi ule ujinga wa Mabasi kutoka Dar kwenda MPANDA yakifika Sikonge yanazuiwa kuendelea na safari bado upooo?