Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
- Thread starter
- #141
Matobolwa Nsansa makewe uyoga asali vitu hivyo katika soko la Sikonge havikosekani Vilindo vyungu vipo ila vilindo vimeanza kupungua.
Wale wadudu wanaopatikana kwenye miti iliyooza hivi vilikuwa vinapatikana zaidi Inyonga
Matini ilikuwa ni chakula cha akina mama zaidi
Wale wadudu wanaopatikana kwenye miti iliyooza hivi vilikuwa vinapatikana zaidi Inyonga
Matini ilikuwa ni chakula cha akina mama zaidi
Nsansa, Matobolwa, makewe , uyoga, asali, kumbikumbi ,matini, nyama pori, mahama vilindo vyungu, wadudu wengine wanaoliwa kama wale wanaopatikana kwenye miti iliyooza na wale wenye mafuta mithili ya siafu lkn wana tank lenye mafuta
Vitu hivyo vipo?