Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Niulize chochote kuhusu Wilaya ya Sikonge Tabora

Je, ni kweli kwamba idadi ya wasukuma huko sikonge ni wengi kuliko wanyamwezi?
Wasukuma ni wengi sana kuliko hata wenyeji na wamejimilikisha mapori mengi sana kwa ajili ya ufugaji na kilimo
 
ha ha ha

Hako ka tabia ka kiarabu ka umwinyi mwinyi kapo Tabora mjini tu sababu Tabora ilikuwa center ya biashara ya watumwa na ndiyo maana kuna shombe wengi mno wa kiarabu hapo Tabora mjini.

Lakini ndani ya wilaya ya Sikonge hakuna tabia ya umwinyi. .

Wanaume wa kimyamwezi sifa ya mwanza Wakarimu, wanajua kupenda na hawawapigi wake zao.....ila tatizo lao kubwa wanatumia pesa vibaya wakishazipa ( vimwaga).
nakuunga mkono bro nina shemeji yangu ali staafu alivyopata pesa zake tu akamuacha dada yangu na watoto akaenda kutanua mbali sana sipataji.Hela zilivoisha akafariki kwa msongo akiwa guest house ndo maana nina msongo sana na hawa watu jamaa shem kaniachia mzigo mkubwa mno wa kutunza wajomba
 
Pole sana

Hii siyo kweli
NI WACHAWI SANA WADADA WA SIKONGE. HATA UKIKUTANA NAYE MKOA WA MBALI KAA NAYE MBALI. WANAJIFANYAGA WAPOLE ILA NI WANGA BALAA.

WANAKUPA LIMBWATA HALAFU FAMILIA YOTE INAHAMIA KWAKO KUANZIA MAMA MKWE HADI NDUGU WENGINE. NA HAWAONDOKI NG'O!
 
Utatakiwa upande basi au gari Moshi mpaka Tabora kisha utapanda basi la Kitunda na hapo ndiyo kuna njia ya Kiloli mpaka Kipili
Nikitaka kufika kijiji cha IPEMBE iliyopo kata ya Kiloli nikitokea Dar, safari yangu itakuwaje? Nishuke wapi nipande wapi nilale wapi?
 
Hiyo siyo kweli wanaume wa Sikonge ni wachapa kazi ila ni wapole na wakarimu ina wastani wa watu 149.8 kwa mjibu wa sensa ya 2012
Wanaume wa Tabora wengi ni lelemama niliwahi kuwa na mradi wa ujenzi sikonge na Usoke-Urambo ki ukweli wenyeji wa kiume ni dhaifu nilikuwa nafanya kazi na waha pamoja na wasukuma wenyeji walikuwa ni wanawake ndio kidogo hujituma kuliko wanawake.
Kwanini wanaume wengi wa huko ni ma Mwinyi?
 
Hukuwa na bahati ya kuwaona wanyamwezi ni wachapa kazi sana0
Wanaume wa Tabora wengi ni lelemama niliwahi kuwa na mradi wa ujenzi sikonge na Usoke-Urambo ki ukweli wenyeji wa kiume ni dhaifu nilikuwa nafanya kazi na waha pamoja na wasukuma wenyeji walikuwa ni wanawake ndio kidogo hujituma kuliko wanawake.
Kwanini wanaume wengi wa huko ni ma Mwinyi?
 
Nasema hivyo kwa sababu wanyamwezi kazi yao kubwa ni kilimo na zao la biashara ni Tumbaku ambalo ni zao gumu kushinda mazao yote biashara hapa Tanzania
Wengi wanaofanya kazi ni Waha, Wahangaza na Wasukuma na wanawake wa kinyamwezi lakini wanaume ni kupendeza wavivu sana
 
Back
Top Bottom