Niulize chochote nitakujibu

Huoni kama kuendelea kuchagua wanaume ma HB kutakufanya ukose mtu sahihi maana wengi sio waoaji ni waongo kama unavyosema
 
Huoni kama kuendelea kuchagua wanaume ma HB kutakufanya ukose mtu sahihi maana wengi sio waoaji ni waongo kama unavyosema
Sio wote ni waongo,miongoni mwa wa kweli hao naweza nikabahatika
 
OK, kwa upande wako ni kipi bora kati ya kuwepo na kutokuwepo?

Namaanisha kipindi ukiwa haupo na kipindi hiki ambacho upo ni kipi kitamu au ungependelea kipindi kipi kibebe umilele wako?

Bila shaka mwaka 1950 ulikuwa haupo mahala popote, ila mwaka 2019 upo hapo ulipo muda huu.

Sasa kipindi kipi kizuri kwa mtazamo wako
 
Je una mvuto kama ilivyo picha yako ya avatar?
Na kwanini katika chaguo zote, ukaamua hiyo ndio iwe picha ya avatar?
Zipo nyingi,ila hiyo inapendwa na wengi ,na binafsi ninaipenda
 
Mwaka 1961 Tanganyika ilikuwa haijatangaza kuwa yupo upande gani kati ya Ubepari na Ukominist
Unaonekana ni mjuzi sana wa mambo
Una kiwango gani cha elimu na ulisomea nini
 
Kuwepo milele ila kwa sababu ya nature ya dunia itafika muda hatutakiwepo,tutapisha wengine aachukue nafasi
 
Sijaomba chakula, naomba tu ile kitu tufurahishane huku tukihema na kutokwa na jasho.
Ndo maana nimesema sio chakula kwa sababu inatolewa baada ya mchakato Fulani wa kimahusiano,lazima moyo udunde,upende,mwili uwe tayari
 
Hapana sina asili ya usukumani licha ya kuishi mikoa ya kisukuma
Wewe ni kabila gani?

Je unahisi kabila au malezi kutoka jamii ya kabila flani kuna weza kuinfluence tabia na characteristics za mtu?
 
Vipi id yako siku ikiunganishwa kama ya kinondoni sweetheart...utaambia nini wananchi?
 
Ndo maana nimesema sio chakula kwa sababu inatolewa baada ya mchakato Fulani wa kimahusiano,lazima moyo udunde,upende,mwili uwe tayari


Njoo basi nikudundishe moyo, si uko free leo? Nina uhakika moyo wako utadunda tu, unakunywa kinywaji gani nikuandalie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…