Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je una mvuto kama ilivyo picha yako ya avatar?Usjali
OK, kwa upande wako ni kipi bora kati ya kuwepo na kutokuwepo?Ndio
Hapana sitakupa maana sio chakula
Unaonekana ni mjuzi sana wa mamboMwaka 1961 Tanganyika ilikuwa haijatangaza kuwa yupo upande gani kati ya Ubepari na Ukominist
Kuwepo milele ila kwa sababu ya nature ya dunia itafika muda hatutakiwepo,tutapisha wengine aachukue nafasiOK, kwa upande wako ni kipi bora kati ya kuwepo na kutokuwepo?
Namaanisha kipindi ukiwa haupo na kipindi hiki ambacho upo ni kipi kitamu au ungependelea kipindi kipi kibebe umilele wako?
Bila shaka mwaka 1950 ulikuwa haupo mahala popote, ila mwaka 2019 upo hapo ulipo muda huu.
Sasa kipindi kipi kizuri kwa mtazamo wako
Wewe ni kabila gani?Hapana sina asili ya usukumani licha ya kuishi mikoa ya kisukuma
Sio wote ni waongo,miongoni mwa wa kweli hao naweza nikabahatika
Ndo maana nimesema sio chakula kwa sababu inatolewa baada ya mchakato Fulani wa kimahusiano,lazima moyo udunde,upende,mwili uwe tayari
Kufanya Masturbation unapokuwa na hamu ya tendo la ndoa na hauna mwenza wa kukutimizia haja?Ndo nini!