St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,174
Umeolewa au unae bf?.Handsome kilaza coz utampa elimu ili ukilaza uishe maana hakuna akili ya binadam iliyokilaza moja kwa moja unless kichaa
Kwa nn unawaogopa ?!Sana
Umeshawahi kudanga??Leo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home
Maswali yawe mafupi mafupi
Umeolewa?Sijawahi
Upo tayar kuolewa kwa sasa?Bado
Nitajie lugha unazozifahamu ili nizitumie kuuliza.Hata lugha zingine unazohis nazifaham
Mwanaume mwenye sifa gani unataka akuoe?Nipo tayar
Mwanaume handsome anafananaje?Handsome
Mcheshi
Mkarim
Mwenyehuruma
Anayejua maisha
Asiyependa starehe ya ngono na pombe
Awe tayari kupima HIV
Pesa kila mtu anatafuta