Niulize chochote nitakujibu

Niulize chochote nitakujibu

Wewe ni mtu wa aina gani? Yaani unafanya kazi gani; weekend unaendaga wapi?? Baada ya kazi zako za mchana jioni unafanya nini?? Dini yako ni ipi; elimu yako, kwa nini umetaka watu tukujue?
 
Umewahi kujichua au kujisugua sehemu zako za Siri ili tu upate Raha Kama ile unayopata kimapenzi
Handsome

Mcheshi

Mkarim

Mwenyehuruma

Anayejua maisha

Asiyependa starehe ya ngono na pombe

Awe tayari kupima HIV

Pesa kila mtu anatafuta
Asiependa ngono huoni akikuoa utakuja lala na njaa ya dushe kwa tabia yake ya kutopenda kungonoka?
 
Wewe ni mtu wa aina gani? Yaani unafanya kazi gani; weekend unaendaga wapi?? Baada ya kazi zako za mchana jioni unafanya nini?? Dini yako ni ipi; elimu yako, kwa nini umetaka watu tukujue?
Mimi ni mtu wa kawaida

Ni mjasiriamalk

Islam

Weekend nipo tu home naangalia season,kusoma magazeti na kufuatilia mitandao ya kijamii

Degree holder (Mass Communication)

Napenda watu wanafahamu coz nina malengo ya kuingia kwenye ulingo wa kisiasa
 
Je siku ukikutana na mtu wako aliyekutoa bikra na ukaambiwa umuambie neno moja ww utamuambia neno gani?
Nitamwambia,"Nakukumbuka kwa kunifungulia ulimwengu wa mapenzi"
 
Tangu kuzaliwa kwako umeshawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wangapi?
Kwa nn hakuna kati yao aliyekuoa?
Zipi kasoro zao na yap mazuri uliyowahi kujifunza kutoka kwao?
 
Back
Top Bottom