Kuanzia mwaka mmoja
Sijampata wa kwangu
OK mi nipo new sun city,, unaweza kuja tuendeleze siku?Mimi sio dhaifu,nakaa Ghana
Ndio,ila isizidi miaka 2
Acha kudanganya mwanamke huwa hamchunguzi muoaji labda awe anadate na wanaume wengi na ikatokea kila mmoja anataka kutoa posa, We nikija hapo tukawa katika mahusiano ndani ya miezi 2 tu nikakwambia nataka kukuoa utasema nikusubiri unichunguze?Sina kwa sasa,kuolewa lazima ujiandae na lazima umchunguze vya kutosha muoaji
Nawahi kukata tamaa pale ninapoona mtu wangu ananicheat
Wowowo au tako lako limekusaidia nini mpaka hapo ulipofikiaKuuza matunda,kufuga kuku wa kienyeji,kuagiza nguo na mikoba kutoka uganda
Leo ni siku ya mapumziko ,sina kazi ya kufanya zaidi ya kupumzika home
Maswali yawe mafupi mafupi