Niulize chochote nitakujibu

Niulize chochote nitakujibu

Sina kwa sasa,kuolewa lazima ujiandae na lazima umchunguze vya kutosha muoaji
Acha kudanganya mwanamke huwa hamchunguzi muoaji labda awe anadate na wanaume wengi na ikatokea kila mmoja anataka kutoa posa, We nikija hapo tukawa katika mahusiano ndani ya miezi 2 tu nikakwambia nataka kukuoa utasema nikusubiri unichunguze?
 
Nawahi kukata tamaa pale ninapoona mtu wangu ananicheat


Japo kuwa huo ni udhaifu ila si kwa swali langu hilo.Namaanisha madhaifu yako wewe kama kwa binafsi yako ?

Mfano,wewe sio mchoyo ? Wewe sio mshirikina ? Wewe sio muongo ?
 
Back
Top Bottom