Kuna series kama tatu zinakiki kichwani mwangu kwa muda wote...
1.shameless-inahusu familia moja ya baba mlevi sana,ambaye ameiacha familia yake inajiendesha yenyewe....matokeo yake yamefanya watoto wanaishi maisha ya kuunga unga sana,wameingia tabia za ajabu ni series nzuri pia ni comedy,mzee kwa ajili ya ulev na ukata ameingia kwenye matukio ya ajabu hatari.
Supernatural-inazungumzia kwa ujumla nguvu za ajabu na kwa kiwango kikubwa imegusa kwa kiasi fulani maisha yetu sisi....humo kuna mapepo,akina lucifer,malaika mbali mbali...ni kama inazungumzia mazingira ya kale kabla ya existence ya dunia yetu
by emma mjasiriamali