yule aliekuuliza kuhusu mpenzi wake wa kwanza aliitwa nani jibu lako likawa "sky siyo jina lake halisi either angenipa details zake ningeweza kumjibu kwa ufasaha" na yule aliyeuliza kuhusu dem wake kuwa hapokei sim yuko wapi? ukamjibu "yuko kwenye gari sim aliiache kwenye mkoba" na jamaa akasema ni kweli hayo ndo majibu aliyojibiwa na manzi....mkuu au unajiuliza na kujijibu mwenyewe??Hapana...kwanini uneniuliza hivyo mkuu.
by emma mjasiriamali
Hahahahhahahahah.... nisidanganye,kuna kitu kinaitwa common answer for common questions ndivyo ambavyo nimefanya mkuu...lakini sijafanya utabiri,labda imeendana na bahati though mara nyingi nikisema kitu huwa inakuwa hivyo,ilinifanya hadi nikagombana na mwanamke niliyezaa naye,aliona namfuatilia lakini kumbe mimi napata daught tu kichwani na najipa majibu ambayo yanakuwa ukweli...baadae anakir.yule aliekuuliza kuhusu mpenzi wake wa kwanza aliitwa nani jibu lako likawa "sky siyo jina lake halisi either angenipa details zake ningeweza kumjibu kwa ufasaha" na yule aliyeuliza kuhusu dem wake kuwa hapokei sim yuko wapi? ukamjibu "yuko kwenye gari sim aliiache kwenye mkoba" na jamaa akasema ni kweli hayo ndo majibu aliyojibiwa na manzi....mkuu au unajiuliza na kujijibu mwenyewe??
Kwa lugha isiyo ya mtihani au lugha ya kawaida....mtaji ni kile kianzio chako kinachopelekea wewe kufikia malengo au mahali fulani,mtaji unaweza kuwa wa biashara au hata wa maneno wakati mwingine,....na vitu vingine vingi mkuu.mfano "amefika hapa alipo kwa kuwa alikuwa na elimu"...kwahiyo mtaji hapo ni elimu....na mengine mengi.
ooh wanajamvi tulianza kuwaza either mwenzetu robot anatumia nguvu ya ziada kufikiri.Hahahahhahahahah.... nisidanganye,kuna kitu kinaitwa common answer for common questions ndivyo ambavyo nimefanya mkuu...lakini sijafanya utabiri,labda imeendana na bahati though mara nyingi nikisema kitu huwa inakuwa hivyo,ilinifanya hadi nikagombana na mwanamke niliyezaa naye,aliona namfuatilia lakini kumbe mimi napata daught tu kichwani na najipa majibu ambayo yanakuwa ukweli...baadae anakir.
by emma mjasiriamali
Mkuu mbona robot haliwez kupredict....ooh wanajamvi tulianza kuwaza either mwenzetu robot anatumia nguvu ya ziada kufikiri.
hahahah oky basi bashiri na Mimi hapa Niko wapi na nafanya nini...Mkuu mbona robot haliwez kupredict....
Hahahahhahah,ilikuwa bahati kwenye mambo ya kubashiri.
by emma mjasiriamali
Nimeziona mahali hzo ntazipakuaKuna series kama tatu zinakiki kichwani mwangu kwa muda wote...
1.shameless-inahusu familia moja ya baba mlevi sana,ambaye ameiacha familia yake inajiendesha yenyewe....matokeo yake yamefanya watoto wanaishi maisha ya kuunga unga sana,wameingia tabia za ajabu ni series nzuri pia ni comedy,mzee kwa ajili ya ulev na ukata ameingia kwenye matukio ya ajabu hatari.
Supernatural-inazungumzia kwa ujumla nguvu za ajabu na kwa kiwango kikubwa imegusa kwa kiasi fulani maisha yetu sisi....humo kuna mapepo,akina lucifer,malaika mbali mbali...ni kama inazungumzia mazingira ya kale kabla ya existence ya dunia yetu
by emma mjasiriamali
Upo mahali ambako kuna kivuli,na umekaa maeneo hayo kwa muda mrefu kidogoo....nashindwa kujua ni kazin au nyumbani,ila umepigiwa simu kama mbili au zaidi ndani ya 20minshahahah oky basi bashiri na Mimi hapa Niko wapi na nafanya nini...
Nipm nikupigie nikuelekezeNatamani kujua kutumia jf kama niambie nitafanyeje!;? Maana cjui kutumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa
NitakujibuWhat is the mechanism of action of Magnesium sulfate in management of eclampsia, or in prevention, among women with pre-eclampsia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umetumia google, na ndiyo maana jibu lako halifuta kiu la swali, ulitakiwa kutoa maelezo kwa namna unavyojua, being an entrepreneuer you are already involved in self employ hakuna blah blah nyingi hapaSelf employment means you are working on your own,build everthing depending on your vision and mission
But beind enterprenuer means you are doing everthing for you,u may also employ people to work for u to fullfill your mission
by emma mjasiriamali
Halafu katika vitu ambavyo sijatumia google ndio hilo jambo mkuuHapa umetumia google, na ndiyo maana jibu lako halifuta kiu la swali, ulitakiwa kutoa maelezo kwa namna unavyojua, being an entrepreneuer you are already involved in self employ hakuna blah blah nyingi hapa
Asante sana mkuuKwa lugha isiyo ya mtihani au lugha ya kawaida....mtaji ni kile kianzio chako kinachopelekea wewe kufikia malengo au mahali fulani,mtaji unaweza kuwa wa biashara au hata wa maneno wakati mwingine,....na vitu vingine vingi mkuu.mfano "amefika hapa alipo kwa kuwa alikuwa na elimu"...kwahiyo mtaji hapo ni elimu....na mengine mengi.
by emma mjasiriamali
Immortal mara nyingi wanakuwa specified na jinsia ya kiume...ila hakuna aliyeproveShetani ni demu au dume?
Mwanangu biashara bila mtaji angalau kidogo,ila kama hakuna nipm nikushauri kwa kuzingatia ramani zakoAsante sana mkuu
Lkn sina mtaji natakanifanye biashara-na ramani ya biashara yangu IPO kichwani nifanye nini niweze pata mtaji wakuendesha biashara hiyo naomba jibu lako mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo una google, we need to hear what you know.... Umejitishwa mzigo usio na uwezo kuubeba...... The good thing umethubutu but lete mawazo yako kwenye kila swaliBecause the earth has plants,and Plants are green because they have chlorophyll in their leaves, which they use to absorb sunlight and create their own energy.
by emma mjasiriamali