Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Unit 8200 ya Israel intelligent inahusiana na nini?

HAwa ni cyber spy ambao wapo very developed in suveillance,hawa jamaa pia inasadikika ndio incubator ya vizazi vipya ambavyo vipo nondo upelelezi wa kisasa kutumia suveillance cameras,wao mhimili muhimu wa kwenye hii sector duniani
 
Kuna mtu alilefwa chanel 5 alikuwa anapigiwa simu anakwambia kila kitu kuhusu wewe. Jamaa sijui alipotelea wapi
 
kwa nin ngoma inalia du du du!

Ndani ya ngoma kuna hewa,hivyo basi unavyopiga top ya juu ile vibration inakandamiza hewa ya katikati pale na inaenda kureflect na top ya chini,kinachotokea ndio ile sauti inatokea,lakini kikubwa pia huo mlio unasababishwa na ule uwaz uliofungwa katikati
 
kwanini jamaa anataka kuongeza miaka kufikia 7

Hapana,hajawahi kuhitaji kuharibu utaratibu uliopo,uraisi ni taasisi yenye watu wengi ambao wanahekima sana...hilo jambo haliwezekani kwa kipindi hichi mambo ni mengi sana
 
Emma...

1. Kipaji ni nini .... ??
2. Ni hatua gani ambayo itamfanya mtu kutambua kipaji chake... ??
3. Kwanini asilimia kubwa ya waafrika hawatambui kipaji chao.... ??
4. Mimi binafsi sitambui kipaji changu ni kipi ila nina mipango ya kufika mbali, lakini kuna vitu napenda kufanya kama,

a) muziki
b) ubunifu wa nguo
c) uchoraji
d) fasheni
e) biashara
Je kati ya hizo inaweza ikawa ni kipaji changu au miyeyusho tu.....
 
Je Mtu mwenye Diphallia anaweza kuzalisha? Kama naweza kivipi? Kama hawezi kwa nini?
 
Kizazi cha Albert Einstein pamoja
Garileigarileo wanafaidika nini na maarifa yaliyoachwa na wazazi wao
 
Kwanini wanaume wa makamo hukataa watoto wao pindi wajuapo msichana alie jamiana nae ni mjamzito?
 
1)Kipaji ni uwezo wa kufanya kitu kigumu kwa urahisi kuliko ambavyo angeweza kufanya mtu mwingine,kipaji kinatofautina mtu na mtu labda genious anaweza kufanya kitu zaid ya kimoja,na uwezo huo anakuwa amezaliwa nao.
2)hatua ya kutambua kipaji ni ngumu kidogo,maana inahitaji muda wako mwingi kutambua ni kitu gani ambacho kipo damuni hauwez kutengana nacho...
3)maisha ya mwafrika yanamfanya asipate muda wa kuzingatia anachokipenda na alichozaliwa nacho,muda mwingi yuko busy kuangalia maisha yake na ya familia yake hana muda
4)B imebeba vyote,utabuni sanaa ya uchoraji,utabuni mavazi,utabuni muziki zipi Zina market,na utakuwa na uwezo wa kubuni biashara gani inalipa na kwa furaha yako,lakini kikubwa mwanZo mgumu anza na ambacho hakitakuchelewesha sana kufikia mahali ambapo hutakata tamaa
 
Kwanini wanaume wa makamo hukataa watoto wao pindi wajuapo msichana alie jamiana nae ni mjamzito?

Mara nyingi ni kutojiamini,neno kutojiamini hapa limebeba tafsir kubwa sana...wengine wanakuwa hawana uhakika kama watoto ni wao,hasa ikitokea mtoto hajafanana nae,jingine ni kutojiandaa kimaisha,anawaza ataishije uwoga na uelewa mdogo wa maisha,jingine ni tabia za wanawake wenyewe unakuta labda mwanamke hayupo serious labda
 
Je Mtu mwenye Diphallia anaweza kuzalisha? Kama naweza kivipi? Kama hawezi kwa nini?

Mtu mwenye diphallia anaweza kuzalisha,tofauti ni kuwa tu anauume mara mbili,lakini huyu mtu anaejaculate na ana”pizz” kama kawaida,though sio wote wanaweza kufanya hivyo....i mean kuzalisha
 
Mara nyingi ni kutojiamini,neno kutojiamini hapa limebeba tafsir kubwa sana...wengine wanakuwa hawana uhakika kama watoto ni wao,hasa ikitokea mtoto hajafanana nae,jingine ni kutojiandaa kimaisha,anawaza ataishije uwoga na uelewa mdogo wa maisha,jingine ni tabia za wanawake wenyewe unakuta labda mwanamke hayupo serious labda
Mwanamke kutokuwa serious kivipi,na unadeal vipi na mtu wa namna hio?
 
Jinsi gani naweza pata passport ya kusafiria kimasomo

Rahisi tu,fuata procidure,maana kwa utaratibu wa nchi yetu ili upate passport lazima uwe na sababu,sasa tayari sababu unayo nenda tu uhamiaji
 
Kizazi cha Albert Einstein pamoja
Garileigarileo wanafaidika nini na maarifa yaliyoachwa na wazazi wao

Wanafaidika sana,inaweza isiwe kwa hela,lakini kwanza vizazi vyao vinaheshimika sana,lakini hao jamaa waliacha vitu ambavyo dunia inavitegemea,unapozungumzia dunia unazungumzia na wao pia maana wanaishi ndani ya dunia....sina uhakika na kama wanakuwa funded.
 
Back
Top Bottom