nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
-
- #281
Unit 8200 ya Israel intelligent inahusiana na nini?
kwa nin ngoma inalia du du du!
kwanini jamaa anataka kuongeza miaka kufikia 7
Nenda kwa mganga.
Emma...
1. Kipaji ni nini .... ??
2. Ni hatua gani ambayo itamfanya mtu kutambua kipaji chake... ??
3. Kwanini asilimia kubwa ya waafrika hawatambui kipaji chao.... ??
4. Mimi binafsi sitambui kipaji changu ni kipi ila nina mipango ya kufika mbali, lakini kuna vitu napenda kufanya kama,
a) muziki
b) ubunifu wa nguo
c) uchoraji
d) fasheni
e) biashara
Je kati ya hizo inaweza ikawa ni kipaji changu au miyeyusho tu.....
Kwanini wanaume wa makamo hukataa watoto wao pindi wajuapo msichana alie jamiana nae ni mjamzito?
Je Mtu mwenye Diphallia anaweza kuzalisha? Kama naweza kivipi? Kama hawezi kwa nini?
Mwanamke kutokuwa serious kivipi,na unadeal vipi na mtu wa namna hio?Mara nyingi ni kutojiamini,neno kutojiamini hapa limebeba tafsir kubwa sana...wengine wanakuwa hawana uhakika kama watoto ni wao,hasa ikitokea mtoto hajafanana nae,jingine ni kutojiandaa kimaisha,anawaza ataishije uwoga na uelewa mdogo wa maisha,jingine ni tabia za wanawake wenyewe unakuta labda mwanamke hayupo serious labda
Jinsi gani naweza pata passport ya kusafiria kimasomo
Kizazi cha Albert Einstein pamoja
Garileigarileo wanafaidika nini na maarifa yaliyoachwa na wazazi wao
Sa hapo mbona aliyekosolewa ndio yupo sahihi wajameni! [emoji13]"trust me i may be of big help to u" labda ungeandika hv "trust me,i can be big help to you"