Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Mmmmmh
Mbona unajibu simple simple sana aisee, wewe unajua kila kitu kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umeona simple,hebu jipe time ya kufikiria jibu nililokupa mkuu,labda let me explain in deep,unapokuwa unapenda kujua mambo unatamani kujua vitu vyote na unatumia nguvu zote kujaribu kuwa na uwezo huo...lakini bahati mbaya kuna baadhi ya mambo huwezi kuyajua kwa undani wake....sasa sio kila mtu anaweza kupata muda wa kufikiria vitu kiundani ndio maana kuna baadhi ya watu kitu cha kawaida kabisa hajui....najitolea mfano,ukiniuliza vitu vya electronics karibia vyote najua,dawa za magonjwa karibia zote nitakupa ushauri na utakusaidia,na vingine vingi...mahusiano ndio kabisaa na hata mambo ya kiroho kiasi kwamba ulipanga kufanya jambo baya ukajikuta unarudi nyuma

by emma mjasiriamali
 
9
A machine that cost £35,000 is operated 8 hours a day in a 5-day week but one hour each day is used for test purposes. For use of the machine there are three scales of charges, the first at the rate of £5 an hour for private use, the second at £15 an hour for research work and the third at £40 an hour for commercial work. It is estimated that the number of hours charged at the first, second and third rates are in ratios 4:2:1. What percentage of total receipts do receipts from commercial work represent?
 
Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Ni vizuri kujua mambo mengi lakini sio kujua vyote.ni mtazamo wangu tu
 
Duh....i need sometime,

by emma mjasiriamali
 
Si mchezo...
 
Katika Portuguese kuna maneno yananichanya muda sahihi au jinsi sahihi ya kuyatumi.Brincara na brincadera,unaweza kunisaidia kwa hilo?au hii haiingii kwenye category ya swali lolote?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio brincarda ni brincar ambayo inamaanisha play,or jokes na hiyo ni brincadeira na sio brincadera it means just kidding


by emma mjasiriamali
 
Majani yanaathiriwa na mabadiriko ya tabia nchi na kidunia kwa ujumla....kuna kitu kinaitwa ecological factors,mfano mti unahitaji jua na photosynesis sasa zinatofautiana sehemu moja hadi nyingine ndio maana they differ.

by emma mjasiriamali
 
Shukran kwe spelling ila hayo majibu uliyotoa ninayafahau na Portuguese yangu ni ya kuongea si ya kuandika hence wrong spelling, katika maongezi native speakers huwa nashindwa kutitofautisha jinsi wavyoyatumia.All in all 'muito obrigado' japo your answer was Google at its finest.Nakupa 100% Kwa utundu ulio nao na challenge uliyotoa,keep it up kwa kuwa ni njia ya kuendeleza ufahamu wa mambo mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…