Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Shukran kwe spelling ila hayo majibu uliyotoa ninayafahau na Portuguese yangu ni ya kuongea si ya kuandika hence wrong spelling, katika maongezi native speakers huwa nashindwa kutitofautisha jinsi wavyoyatumia.All in all 'muito obrigado' japo your answer was Google at its finest.Nakupa 100% Kwa utundu ulio nao na challenge uliyotoa,keep it up kwa kuwa ni njia ya kuendeleza ufahamu wa mambo mbalimbali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Obrigado por sua apreciação

by emma mjasiriamali
 
Eti mkuu Kaini alimuoa nani huko alipokimbilia?
Je ni kweli kuna bikra 70 tutapewa mbinguni?
Mm naitwa nani?
Na mimi ni nani?
 
Baada ya awamu zote mbili za magu kuisha rais atakuwa nani
Hadi sasa hakuna dalili ya nani atakuwa raisi,hata atakayetokea ataanza kuonekana mwaka wa nane wa madarakani wa magufuli,kwasasa wanashindwa kuonyesha interest wanahofia mkuu,ila atatoka chama tawala pia...na upinzani itapunguza wabunge bungeni kwa kiasi kikubwa kwa kusalitiana na unafiki itakaojitokeza...Muungano wa ukawa utabaki jina

by emma mjasiriamali
 
Naomba ujibu hili swali..
2+2==4
Haya Joni anamatunda 12 treni inapita saaa 4 kamili, Calculate the mass of the sun!

NB. Swali halijakosewa na linaeleweka kwa mwenye kujua..
 
Back
Top Bottom