Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

Sasa kwa nn ww umesema uulizwe chochote wakat hujui vyote??
 
Kama ambavyo nimeandika kwenye kichwa cha topic,nakaribisha maswali yeyote kuhusu chochote,nadhani naweza kuwa sehemu ya matatiZo au challenge zako,....furaha na amani yako.trust me i may be of big help to u
Napata wapi kitabu "THE DARKSIDE OF NYERERE" Cha Ludovic Mwijage?
 
Mbona unakomoa watu mkuu??[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Kwa nini unasema unajibu chochote?? kila kitu unajua wewe?
Swali zuri....mengi ninayoyajua nimeyainisha kabisa kwenye OP kwenye ngazi hiyo means najua karibia kila kitu,nisichokijua nitasema

by emma mjasiriamali
 
Kwa hesabu zipi kwanza..
Tunazingatia zile hela zilifanyia nini kipindi kile na zingefanya nini kipindi hiki kwa kuzingatia kukua kwa thamani ya pesa

by emma mjasiriamali
 
Tunazingatia zile hela zilifanyia nini kipindi kile na zingefanya nini kipindi hiki kwa kuzingatia kukua kwa thamani ya pesa

by emma mjasiriamali
Haya shusha hesabu zako tuone jinsi itakavyokua billions..
 
Eti ni kweli kuwa viwanja mjini vinauzwa bei ghali
Kwa sehemu kubwa viwanja mjini vinauzwa ghari...ila haimaanishi sehemu ambazo sio mjini kote vinauzwa bei rahisi.....ila kwa kuzingatia uwiano ni sahihi

by emma mjasiriamali
 
Haya shusha hesabu zako tuone jinsi itakavyokua billions..
Tunaangalia kwa kuchukua mfano wa wafanyabiashara haramu ya binadamu...lile lilikuwa ni jambo haramu,kwa kizingatia tu ubinadamu na usariti muuzaji lazima angetaja bei kubwa sana,achana na yeye alikuwa yesu hapo ndio ingeadd value zaid to billions dollar,means ungefanyika mnada mkubwa wa kumnunua na kumkomboa asinunuliwe

by emma mjasiriamali
 
Inasemekana eneka haina maana yoyote Kama ilivyokua Kwa ngololo na bingili unasemaj, hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wimbo unamaana,ila vikorombwezo vingine ndio havina maana...anamwambia mwanamke anampenda,anamshawishi wapendane ili watu wengine wapunguze kuongea...wimbo una maana

by emma mjasiriamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…