nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 655
- 526
- Thread starter
- #141
Compare to other worms,
Zuckerman nisiwe muongo nimeshindwa kuliweka sawa nachojua cycling in two may na anapopatikana sehemu zenye asili ya unyevu
by emma mjasiriamali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Compare to other worms,
Umejitahidi sana mkuu, sikutegemea ungejibu hilo swaliMkuu si angalau idea ipo...au nimekosea
by emma mjasiriamali
Asante kwa kunisaidiaKwasababu wavelength ya rangi ya kijani ni kubwa kuliko rangi zingine hivo ni rahisi kusharabu photons za jua ili ziingie kiurahisi mmea utengeneze chakula chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira zitatoka ila sijajua walimu zitakuwa ngapi...ila kwa mara ya kwanza ajira ya mwalimu itatafutwa kama zilivyo ajira nyingine....kwahiyo tujiandae kuona tution nyingi mtaani.We jamaa hvi hizi ajira walizotangaza zitatoka ni kweli watazitoa
Za walim zitakua ngapi?
Muhenga tozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank u mkuu....
Shukran,, naomba unijibu sasa nlichokuulizaNashindwa kuwa na uhakika maana mipango yetu watanzania huwa haina uhakika sana ndio maana nadhani haziishi kwa maana hata huko kwenyewe majibu yanaanza na hizo nadhani au nahisi
by emma mjasiriamali
Jibu linabeba majibu yote,unalolitegemea na ambalo hukulitegemea kwa undani wake...kiboko ni KIBOKO,
Nikujibu kesho nipate details kutoka mahali husika nibashiri kutoka kwao kwa hesabu za kawaida
Naitwa emmanuel david sangaMkuu we ni nani?
Kuanzia saa sita mchana
1.kuwa mtumishi inawezekana...maana tunachoamini ndicho kinachotokea,hivyo basi kama kweli una nia ya dhati ya kuwa mchungaji naamini kuna protocol za kufuata pia inategemea sana na madhehebu...kwa mfano RC huwez kufanikiwa ila sijajua huko uliko maana hujaniambia ni dhehebu lipi....Mimi nimejikita kwenye dini (yaani nimemrudia Mungu baada ya kufanya maasi mengi) sasa swali langu ni hili,
1.je kwa mtazamo wako naweza kuwa mtumishi(,yaani Mchungaji) kama nilivyokusudia?
2.je kwa ujuzi wako naweza kuwa na karama gani?
Ndio kiongozi huwa naangalia sana...na ni mpenzi wa hizo movies za mfumo wa series...bila shaka unataka kuniuliza ni zipi huwa naziangalia...We jamaa swali langu la least but not last linasema hvi unaangaliaga season?
Muhenga toz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasante Mkuu kwa majibu yako,Mimi nimeokoka na kuhusu historia yangu ningeomba kupata namba yako ya simu ili tuwasiliane kama hutojali1.kuwa mtumishi inawezekana...maana tunachoamini ndicho kinachotokea,hivyo basi kama kweli una nia ya dhati ya kuwa mchungaji naamini kuna protocol za kufuata pia inategemea sana na madhehebu...kwa mfano RC huwez kufanikiwa ila sijajua huko uliko maana hujaniambia ni dhehebu lipi....
Jambo la pili kuhusu karama gani unayo nisiwe muongo ni mpaka niongee na wewe au kujua historia yako naweza kujua unakarama au kipawa kipi
by emma mjasiriamali