Niulize jambo lolote, kuhusu chochote nitakujibu na utanielewa..

We jamaa hvi hizi ajira walizotangaza zitatoka ni kweli watazitoa
Za walim zitakua ngapi?
Muhenga tozi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ajira zitatoka ila sijajua walimu zitakuwa ngapi...ila kwa mara ya kwanza ajira ya mwalimu itatafutwa kama zilivyo ajira nyingine....kwahiyo tujiandae kuona tution nyingi mtaani.

by emma mjasiriamali
 
Kati ya mamba na kiboko nani kiboko?


Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu linabeba majibu yote,unalolitegemea na ambalo hukulitegemea kwa undani wake...kiboko ni KIBOKO,
Maana ya kwanza ilikuwa nani mkali au mbabe nk....kiboko huwa ni mbabe mamba hafurukuti anakatwa vipande viwili shap...na yeye inakuwa ngumu kuliwa na wanyama wakali kwa kuwa ana ngozi yenye layer kubwa sana
Cha pili jina kiboko anaitwa kiboko

by emma mjasiriamali
 
Mimi nimejikita kwenye dini (yaani nimemrudia Mungu baada ya kufanya maasi mengi) sasa swali langu ni hili,
1.je kwa mtazamo wako naweza kuwa mtumishi(,yaani Mchungaji) kama nilivyokusudia?
2.je kwa ujuzi wako naweza kuwa na karama gani?
 
Mimi nimejikita kwenye dini (yaani nimemrudia Mungu baada ya kufanya maasi mengi) sasa swali langu ni hili,
1.je kwa mtazamo wako naweza kuwa mtumishi(,yaani Mchungaji) kama nilivyokusudia?
2.je kwa ujuzi wako naweza kuwa na karama gani?
1.kuwa mtumishi inawezekana...maana tunachoamini ndicho kinachotokea,hivyo basi kama kweli una nia ya dhati ya kuwa mchungaji naamini kuna protocol za kufuata pia inategemea sana na madhehebu...kwa mfano RC huwez kufanikiwa ila sijajua huko uliko maana hujaniambia ni dhehebu lipi....
Jambo la pili kuhusu karama gani unayo nisiwe muongo ni mpaka niongee na wewe au kujua historia yako naweza kujua unakarama au kipawa kipi

by emma mjasiriamali
 
We jamaa swali langu la least but not last linasema hvi unaangaliaga season?

Muhenga toz

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio kiongozi huwa naangalia sana...na ni mpenzi wa hizo movies za mfumo wa series...bila shaka unataka kuniuliza ni zipi huwa naziangalia...

by emma mjasiriamali
 
Hasante Mkuu kwa majibu yako,Mimi nimeokoka na kuhusu historia yangu ningeomba kupata namba yako ya simu ili tuwasiliane kama hutojali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…