Computer4Sale Niulize laptop gani unataka na kwa ajili ya matumizi yapi nikupe bei na ushauri

Joined
Feb 7, 2012
Posts
81
Reaction score
105
Watu wengi wamekuwa wakinunua laptop bila kujua wanaenda kutumia kwenye matumizi gani au mwingine ananunua laptop yenye uwezo mkubwa sana kuliko matumizi yake. Sio mbaya kufanya hivyo bali itakufanya uingie gharama kubwa ya ununuzi wake.

Pia kuna wengine wananunua laptop yenye uwezo mdogo ukilinganisha na matumizi yake hivyo kupelekea kazi yake kuwa slow na ufanisi wa kazi kuchelewa au kuwa mbaya kabisa.

Laptop ni kama bidhaa nyingine lakini katika ununuaji wake unahitaji uelewa wa hali ya juu sababu kuna changamoto watumiaji hukutana nazo na kwa kuwa hawajui chochote basi huona kama wamepigwa au kuuziwa mbuzi kwenye gunia.

NJOO TUPEANE USHAURI NI LAPTOP IPI ITAKUFAA KWENYE MATUMIZI YAKO NA VIGEZO GANI UVIZINGATIE UNAPONUNUA LAPTOP.

Unaweza kupiga simu 0787391033 au kunichek WhatsApp 0652565597

#TWENDE SOTE
#TEKNOLOJIANIYAKWETUSOTE
#2024


 
Hiyo kwenye Picha ni Bei gani
 
Wewe unatengeneza pia laptop? Nina ngalangala langu hapa Hp nimeamua kuliweka mtoto ndio analitumia kuangalizia cartoon wakat mi naangalia mpira. Natamani kuifufua iliharibika frame na hata window yake ya zaman
 


Dell Core i5, system login and work on networked environment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…